Rui alikuwa mganga tu.Tangu Rui Faria ameachana na Mourinho mwaka 2018 na Mourinho amekuwa na timu dhaifu kuliko kawaida.
Rui Faria kaanza kufanya kazi na Mourinho tangu mwaka 2001 hadi 2018 katika vilabu tofauti tofauti alivyofundisha Mourinho.
Katika kipindi hicho Jose Mourinho alifanikiwa kutengeneza timu imara kweli na kutwaa makombe mengi mpaka kufikia hatua ya kujiita the special one.
Toka ameachana na Rui Faria timu za Mourinho zinabahatisha bahatisha tu.
Je nyuma ya mafanikio ya Mourinho kuna kazi kubwa iliyofanywa na Faria?
Je mporomoko wa sasa wa Mourinho unachangiwa na kukosekana kwa Rui Faria katika benchi lake la Ufundi ?Daemusin
Uyo shoga angekuwa anafunga kama GUNDO sijui ingekuwaje★Hey, Manchester United fansBruno misses you★
#GGMU
manutd |View attachment 1701787View attachment 1701788
Subiria kijora chako kesho Mzee wa sare.Kati ya timu za kipumbavu zilizoniudhi Leo ni Liverpool na Tottenham..
Wacha hisia za kimgambo mgambo wewe tupambane na hakuna ku salender points tulizopitwa ni chache na hazitoshi kukubali, hata pep na kikosi chake pia bado hakipo stable kiivyo najua utapinga lkn wait kabla hatujafika April utanielewa.Nilitaka kuonyesha dynamism ya ligi msimu huu kuwa kuna muda tulizidiwa point kumi na Liverpool na sasa tunaenda kumzidi kwa point nane yeye..
Kubeba ubingwa hatuwezi,hizi zitakuwa ni hekaya tu tunaziandika humu..tukomae tumalize nafasi ya pili tu.
Hahahahaaa hawana tofauti sio??basi sawa mkuuIt is a Matchday.
Point tatu inabidi lisiwe swali la kujiuliza tunapokutana na timu kama West Brom.
Kubeba EPL kwa upande wangu naona haiwezekani lakini acha tuendelee kupambana kuwa karibu na City huku juu.
•••••••••••
MY STARTING XI vs WEST BROM
••••••••••••
Henderson
AWB Lindelof Maguire Shaw
Fred McTominay
Greenwood Fernandes Martial
Cavani
=============
Kuna watu wata-fume why nimeanza na Martial..Mnadhani Rashford na Martial wana tofautiana upuuzi?,No,wapo sawa,kwahiyo kuanza na yoyote ni poa tu
Kabsa mkuu nkuunga mkonoIt is a Matchday.
Point tatu inabidi lisiwe swali la kujiuliza tunapokutana na timu kama West Brom.
Kubeba EPL kwa upande wangu naona haiwezekani lakini acha tuendelee kupambana kuwa karibu na City huku juu.
•••••••••••
MY STARTING XI vs WEST BROM
••••••••••••
Henderson
AWB Lindelof Maguire Shaw
Fred McTominay
Greenwood Fernandes Martial
Cavani
=============
Kuna watu wata-fume why nimeanza na Martial..Mnadhani Rashford na Martial wana tofautiana upuuzi?,No,wapo sawa,kwahiyo kuanza na yoyote ni poa tu
Wewe unaonaje mkuu?Hahahahaaa hawana tofauti sio??basi sawa mkuu
Sawa April ikifika tutakumbushana..Wacha hisia za kimgambo mgambo wewe tupambane na hakuna ku salender points tulizopitwa ni chache na hazitoshi kukubali, hata pep na kikosi chake pia bado hakipo stable kiivyo najua utapinga lkn wait kabla hatujafika April utanielewa.
huyo shoga ana goli 13 za ligi tu kapitwa goli 3 na anaeongoza huyo Gundogan sijui anangapi lete idadiUyo shoga angekuwa anafunga kama GUNDO sijui ingekuwaje
Bruno huwezi mlinganisha na Gundogani kijana.huyo shoga ana goli 13 za ligi tu kapitwa goli 3 na anaeongoza huyo Gundogan sijui anangapi lete idadi
wewe ndiye uliyemlinganishaBruno huwezi mlinganisha na Gundogani kijana.
Yuko form kacheza game chache ila anagoli za kutoshahuyo shoga ana goli 13 za ligi tu kapitwa goli 3 na anaeongoza huyo Gundogan sijui anangapi lete idadi
Kwani we mwenzetu ni jinsia gani?Bruno huwezi mlinganisha na Gundogani kijana.
Wote wako hovyo mkuu uko sawa.Wewe unaonaje mkuu?