Hahaha angalia huyu takataka. Wakati wewe unashinda zote siyo..Japokuwa Ole amekuwa akitu-disappoint sana ila nimefanya observation. Tuna nafasi kubwa sana ya kubeba ubingwa msimu huu.
Tunahitaji kushinda mechi 13 ktk ya 15 zilizosalia. Kuanzia weekend hii, safari ya ubingwa itaamuriwa kuelekea michezo mitano ijayo kati yetu sisi na Manchester city.
Manchester City;
Tottenham (leo), Everton (J'5, feb 17), Arsenal (J'2, feb 21), West Ham (J'mosi, feb 27) na mwisho atacheza na sisi (mar 6).
Kitu cha muhimu hapa tusifanye makosa mechi tano zijazo. Hawa wapuuzi naamini kabisa watafungwa mechi 3 kati ya hizo tano.
Man utd hana uwezo wa kushinda match 5 mfululizo kwa sasaJapokuwa Ole amekuwa akitu-disappoint sana ila nimefanya observation. Tuna nafasi kubwa sana ya kubeba ubingwa msimu huu.
Tunahitaji kushinda mechi 13 ktk ya 15 zilizosalia. Kuanzia weekend hii, safari ya ubingwa itaamuriwa kuelekea michezo mitano ijayo kati yetu sisi na Manchester city.
Manchester City;
Tottenham (leo), Everton (J'5, feb 17), Arsenal (J'2, feb 21), West Ham (J'mosi, feb 27) na mwisho atacheza na sisi (mar 6).
Kitu cha muhimu hapa tusifanye makosa mechi tano zijazo. Hawa wapuuzi naamini kabisa watafungwa mechi 3 kati ya hizo tano.
Kuanzia sasa Ole na wachezaji inabidi wafanye firing ya hatari..tofauti na hapo mwisho wa msimu tutashika tu tama na hatutoona improvement yoyote ya maana bila trophy..na position ya Ole itabidi iwe questionedJapokuwa Ole amekuwa akitu-disappoint sana ila nimefanya observation. Tuna nafasi kubwa sana ya kubeba ubingwa msimu huu.
Tunahitaji kushinda mechi 13 ktk ya 15 zilizosalia. Kuanzia weekend hii, safari ya ubingwa itaamuriwa kuelekea michezo mitano ijayo kati yetu sisi na Manchester city.
Manchester City;
Tottenham (leo), Everton (J'5, feb 17), Arsenal (J'2, feb 21), West Ham (J'mosi, feb 27) na mwisho atacheza na sisi (mar 6).
Kitu cha muhimu hapa tusifanye makosa mechi tano zijazo. Hawa wapuuzi naamini kabisa watafungwa mechi 3 kati ya hizo tano.
Ole huyu huyu naemjua mimi...Kuanzia sasa Ole na wachezaji inabidi wafanye firing ya hatari..tofauti na hapo mwisho wa msimu tutashika tu tama na hatutoona improvement yoyote ya maana bila trophy..na position ya Ole itabidi iwe questioned
✓FA CUP
✓Europa League
✓EPL(inabidi tuende bamba to bamba mpaka mwisho tuone tutakuwa nafasi gani)
Labda izi game zote ziwe za ugeniniKuanzia sasa Ole na wachezaji inabidi wafanye firing ya hatari..tofauti na hapo mwisho wa msimu tutashika tu tama na hatutoona improvement yoyote ya maana bila trophy..na position ya Ole itabidi iwe questioned
✓FA CUP
✓Europa League
✓EPL(inabidi tuende bamba to bamba mpaka mwisho tuone tutakuwa nafasi gani)
Huyo Mings toa ni uchafu tu huo.
Hamna kitu mule mkuu, bora tubaki na uyo uyo chizi magwaya, unajua michezaji ya kingereza mingi hainaga akili ya mpira, ss bora uchizi ufanyike mbele na co nyuma.Mings mbona beki mzuri tu, au itakua namungalia vibaya.
Mings mbona beki mzuri tu, au itakua namungalia vibaya.
Yn yule Mings ndio chizi wa karne kabisa, tena asikaribie kabisa kwenye hili chama cz tutakuwa tunaokota mipira nyavuni km hatuna akili nzr.Waingereza wanapenda kupigana promo sana
acha na huo utopolo..weka Raphael Varane hapo awe partner na BAILLY uone tutakavyokeep cleansheets za kutosha
Hana tofauti na Maguire naweza sema Maguire pia mzuri sanaMings mbona beki mzuri tu, au itakua namungalia vibaya.
Kweli kabisa kiongozi yn yule ndo hamna kitu kabisa bora magwaya kwakweli.Hana tofauti na Maguire naweza sema Maguire pia mzuri sana
Atafungwa moja mtungi linamtosha kabisaMourinho kawa mdebwedo leo hata tusibane mbupu maana ataliwa kirahisi tu na Pep..