Binaadam bhana!
Unataka tukifungwa ujifanye "si nili sema mie"
Mashabiki wenzangu wengine munazingua.
NB: inabidi tujiwekee utaratibu wa, kila mgeni akiingia humu (shabiki mwenzetu mpya) ajitambulishe,
Ana umri gani?
Ameanza kuishabikia Manchester United mwaka gani?
Ana uwelewa gani na maswala ya soccer?
Hiyo itapunguza kusumbuana vichwa.