Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wote hao walianza kutoka kwa mourinho
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Mchezaji pekee aliyepewa senior debut na Mourinho ni Scot na Tuanzebe tu kwa walioko kikosini.

Kama una chuki binafsi na Ole mchukie tu lakini hakuondoi ukweli kwamba amewaibua Mason na Brandon William's na kuwapa senior debuts.

Halafu angalia records za Rashford na Martial chini ya Mourinho ulinganishe na records zao chini ya Ole ni mbingu na ardhi.
 
Sosha anapita njia za wenzie
 
Kwa nn kwenye mijadala unapenda kusema chuki wakati watu wanatoa maoni yao? Hivi kukosoa au kuuliza ni chuki?
 
Hakumpa hata nafasi ya kwenda nae kwenye tour halafu unasema amemuibua ?

Halafu mchezaji yupo kwenye academy ya timu whatever manager lazima angemtoa nafasi provided ana kipaji

Tayar alimpromoti kuja timu ya wakubwa akafukuzwa kazi ina maana hapo huoni?
 
Kwa nn kwenye mijadala unapenda kusema chuki wakati watu wanatoa maoni yao? Hivi kukosoa au kuuliza ni chuki?
Yes kama unashindwa kuappreciate hata mafanikio madogo obvious ya mwalimu unakuwa na chuki binafsi nae tu.
 
Yes kama unashindwa kuappreciate hata mafanikio madogo obvious ya mwalimu unakuwa na chuki binafsi nae tu.

Mmm we jamaa bana huko nyuma mbona kuna post kibao za namna sosha alivyojitahidi kuunganisha timu kwa hiyo unataka kusikia unachopenda ww?
 
Yes kama unashindwa kuappreciate hata mafanikio madogo obvious ya mwalimu unakuwa na chuki binafsi nae tu.

Halafu nimechukuie sosha wa nini mm? Ana impact gan kwenye maisha yangu jana hivyo hivyo unaniambia namchukia rashford nimekuletea mashabik wa united duniani wanavyomaindi kwenye page ya united
 
Halafu nimechukuie sosha wa nini mm? Ana impact gan kwenye maisha yangu jana hivyo hivyo unaniambia namchukia rashford nimekuletea mashabik wa united duniani wanavyomaindi kwenye page ya united
Hatuzungumzii maisha yako binafsi tunazungumzia Manchester United
 
Hatuzungumzii maisha yako binafsi tunazungumzia Manchester United

Na ndio maana manchester united ikifanya vibaya nasema wakiharibu naponda sina chuki na mtu ambae hana impact ktk mzunguko wangu wa maisha
 
Jose anauwaje mchezaj wa miaka 20?
hazard?ronaldo? Etoo? Zlatan? Drogba hao mbona hawakufa? Ni kwa uchache tu
tokea jose aondoke realmadrid Ronaldo alibaki kufunga magoli tu, take ons hazikuwepo. 1 v 1, ronaldo anatafuta goli sio apige chenga ili akafunge kwa urahisi
 
tokea jose aondoke realmadrid Ronaldo alibaki kufunga magoli tu, take ons hazikuwepo. 1 v 1, ronaldo anatafuta goli sio apige chenga ili akafunge kwa urahisi

Mkuu hayo mambo yapo kwa mess tu ronaldo na 1 v 1 wap na wap
 
Hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…