Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hebu mtu hapa ampigie simu OGS amtoe Martial. Mpaka Bruno anacheka mwenyewe. Anampigia mipira anashindwa kuikimbilia inatoka nje. pambaf sana.
Uyo hatukupigwa, ana kipaji kikubwa ila mzembe na haitofika kiwango kilichotarajiwa.
 
Hebu mtu hapa ampigie simu OGS amtoe Martial. Mpaka Bruno anacheka mwenyewe. Anampigia mipira anashindwa kuikimbilia inatoka nje. pambaf sana.

Leo martial ana mech nzur sana west ham wangefunga goli kipindi cha kwanza bila martial kwenda kuruka kichwa mpira wa kona had muda huu tungekuwa tumetolewa mfungaji angekuwa Diop.
 
★Jamaa atabadilika tu tufanye kama hatumuoni kama kipindi tulipokuwa hatumuoni bwana Fred,afu muda mwingine naona watu hasira za kupigwa Bwna Maguire wanazileta kwa DvB★
Kwnz vdb anacheza vzr sn co mbinafsi km haya matoto mawili, alafu wakuu nakumbusha tu kwamba Maguire tulipigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…