Mtoto anacheza kwa hesabu sana yule..Pure talent.
Angalia sasa nini mnaandika mabrooNilisema hapa clean sheet za city zitaisha wakikutana na liverpool
Pep anatembea mule mule alipotembea babu fergie....Hii liverpool wakulaumiwa ni kocha walipokuwa juu klopp hakuendelea kutafuta wachezaj wakubwa akarudi kule alipowatoa wakina salah na robertson walitakiwa kuendelea mbele habar za wachezaj wa £2 ndio wanawazamisha sasa sir alex hakuacha kununua wachezaj wakomavu hata kama wakina welbeck walichukuliwa toka kwenye academy ndio siri ya manchester united kutawala soka la england kwa muda mrefuView attachment 1697025
Angalia kama hapo huo ni mfano tu bado tevez, rooney
Endelea kuotaKwa sababu unajibu lako sisi tunajua anatupeleka kutwaa mataji
Unacite info za uongo unataka uitweje?Unafikir mm mtoto mwenzio kwamba ukitumia lugha kama hizo ntaingia huko kwenye huo ujinga na upuuzi we dogo hapa umefulia hizo kauli zilikuwa zikitolewa na washamba wa jf miaka ya 2014 huko now days wajinga ndio wanaendeleza hizo ligi za lugha za hovyo hapa unakimbizwa mdogomdogo kadri unavyopanic ndipo unafunua ubongo wako wa ujinga
Wake wenza wa man city hao wasikusumbue mkuu! Leo hii wameachana waume zao wamekimbilia kwa mume mwingine man city
Unacite info za uongo unataka uitweje?
OGS ntamuhukumu next season, hiki kikosi chake kinaitaji wachezaji kama watatu au wanne tu ili tuwe title contender mkuuMkuu mozila firefox ,kwa kweli sikuwaza kama hata top 4 tungeingia endapo wapinzani wetu wangekuwa kwenye kiwango chao bora kabisa na bila majeruhi ya mara kwa mara kwenye vikosi vyao vya kwanza.
Lakini cha kushangaza msimu huu united chini ya ole ndio timu ambayo tunaona kama iko kwenye form nzuri na tukapata bahati ya kupitiwa mbali na majeruhi kwa key players wetu. Nami nikuulize swali dogo,OLe anakosa kipi kwa msimu huu kuwa title contender?
Tusitegemee liverpool,city,chelsea chini ya tuchel msimu ujao watakuwa na bahati mbaya kama msimu huu wakati sisi bado tunasubiri rashford akiitafuta form yake.
Hua siandiki matusi. Uliiachagua hii ruti mzee.Na ndio maana nimekwambia huo utoto wako hapa huwez kunipeleka huko mlikozea kutuma post za matusi
Sasa kama za uongo we zinakuuma nini? Wewe ni mmiliki wa arsenal? Au ww mwanzilishi wa arsenal yaani unakaa unatuma matusi kwa kitu ambacho ww huna hata shea kichwani zipo ww? Moyes na nyie nani kasajili? Huo ni uongo mnasoma kwa kukurupuka aston villa kakukata gepu ulitaka nikufafanulie hivyo?
Nimekuelewa mkuu,ngoja tuendelee kumuombea njaa Liverpool kwa sasa wakati tunafanya rebuild kwanzaOGS ntamuhukumu next season, hiki kikosi chake kinaitaji wachezaji kama watatu au wanne tu ili tuwe title contender mkuu
Unajua usajiri wa mchezaji sahihi mmoja tu unaweza badilisha timu nzima like Bruno
FODEN Ni Bora Sana kuliko RASHFORD
Anafundishwa na kocha bora, co huyu wetu toto linafanya ujinga bado analichekea mwishowe linajiona star kumbe mimavi mitupu.Mtoto anacheza kwa hesabu sana yule..Pure talent.
Hii ni dream league?, mm nipo na pess najifariji na eplMbona mimi nimeweza kulinda ushindi,
Hatuna kocha kabisa wakuuView attachment 1697153
Kwani nyie basi mnagame ambayo mnauhakika na 3 pointkwa mechi tulizo nazo man u mpaka tuje kutana na big match ambayo ni chelsea
sioni wakutusimamisha labda tuamue wenyewe kujisimamishaaa
Sheffield katufunga,tumepoteza point kizembe dhidi ya Everton,Arsenal tumeshindwa kumfunga..kwa mechi tulizo nazo man u mpaka tuje kutana na big match ambayo ni chelsea
sioni wakutusimamisha labda tuamue wenyewe kujisimamishaaa