Huyo dogo angesoma shule za huku kwetu ni wale wanaopataga sifuri licha ya kuhudhuria drsn kila siku. Dogo kichwa nunda sana, open chance anapoteza nyingi sana na nna hakika huwa anaelezwa kwenye preview, pale ulitakiwa kushoot au ku-release mpira sharply
OGS ndio tatizo. Rashford kawa mzigo kitambo sana. Game inaenda mwisho unamtoa Greenwood unaingiza Tuanzebe ili ukazuie zaidi. Hajui hata kushambulia ni kuzuia.
Lile kocha letu halijui mpira hata kidogo halijui lifanye sub ya namna gani kulingana na mechi halijui kufundisha kukaba na kufunga set up plays halina mbinu yoyote ya mpira mbaya zaidi halina bahati
TUANZEBE, TUANZEBE, TUANZEBE..HUYU NA MARTIAL WALIBAGULIWA SIKU ILE TULIFUNGWA NA SHEFFIELD. UNASABABISHAJE FAULO ENEO KAMA LILE DAKIKA YA 95? ACHA WABAGULIWE TU..pambaf.