Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kila mchezaji uwanjani ana jukumu la msingi, labda kama unaongelea Ragby.
unapojilinda higher line kama tunavyocheza leo wachezaji wote wanapaswa kuwa bize ili kujiepusha na useless counter attack zitakazozalisha goli nyepesi kama hizi tulizofungwa.

mara zote everton wametushambulia huku tukiwa sawa kiuiano wa wachezaji, mzungu unapomuacha na uwiano wa 3 vs 4 ni rahisi kukuadhibu
 
scott nafikiri ameshatimiza magoli 5 ya premier league msimu huu.
sijui yule striker wa team ile ana magoli mangapi
 
Huyu mtto Rashford ni kama nzi tu..akiacha ujinga kuna siku atatoa asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…