Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwn anachezaga kiungo cha wapi?
Nilitaka kumaanisha kwenye Mido ya (Mc Fred), Fred ndio huwa anashughurika na( ni mzuri) ulinzi zaidi kuliko Mct.

Kwenye hii double pivot ya leo tunatarajia McT ndio atakuwa anashughurika na ulinzi kuliko Pogba. Kitu ambacho Mimi simkubali sana.
 
Nje ya nchi Mocambique?
Acha ujinga dogo janja.
Nchi za nje wakati tuna lala nje!

Inaelekea ulipo zaliwa ndipo ulipo ulipo kulia na mpaka leo upo hapo hapo kwenu kiburugwa.

Bro usije nyumba ya mwenda wa zimu na badebe.
Acha ushamba wewe ina maana hujui kwamba unaweza icheki kwenye cm au shida yako tujue uko nje ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…