D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
wanalalamikia uamuzi wa red card.. Wanasema tukio la bruno dhidi ya xhaka lilikuwa kubwa zaidi kuliko la leo. Kama ni kweli marefa pamoja na var wajitathmini kwani malalamiko yameshakuwa mengi dhidi yaoArsenal kesha lizwa red kala mbili na moja ni ya kipa hakuna cha Aubemeyang leo
Wolves 2-1 Arsenal
Hakuna uhusiano kabisa faulo ya kwanza kamvuta ndani ya penati box kwa hiyo red na peneti la pili kipa nje ya box kaugusa mpira red na freekick kipindi cha kwanza walicheza vizuri hadi walipogawa penati na red na bao la pili hawakukaba wakachapwawanalalamikia uamuzi wa red card.. Wanasema tukio la bruno dhidi ya xhaka lilikuwa kubwa zaidi kuliko la leo. Kama ni kweli marefa pamoja na var wajitathmini kwani malalamiko yameshakuwa mengi dhidi yao
Kuna watu ukiwafuata unatafuta shida tu.Umetuuza mzee
Arsenal poleni View attachment 1692892View attachment 1692893
ok. Kumbe wanatafuta kichaka cha kufichia madhambi yaoHakuna uhusiano kabisa faulo ya kwanza kamvuta ndani ya penati box kwa hiyo red na peneti la pili kipa nje ya box kaugusa mpira red na freekick kipindi cha kwanza walicheza vizuri hadi walipogawa penati na red na bao la pili hawakukaba wakachapwa
twitter imeshaachiwa? Leo naipata bila ya vpn. Safari njema rojo marcos
Mc Tomney angeweza kuvunjwa mguu, lo!Soton red caaaard, [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]