Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii timu ishajifia bado kuzikwa tuu

Ni swala la muda tu.

Mechi zao 3 zijazo wataambuliA sare zote hawana uwezo wa kushinda hizo mechi.

Timu inafungwa na sheffield nyumbani kwao.sheffield mpaka sasa wameshinda mechi 2 tu kwenye ligi moja ya mechi walioshinda ni dhidi ya United.

Raundi ya pili hii kwa Manyumbu ni ngumu sana kutokana na ushindi waliopta raundi ya kwanza ulikuwa wa ujanja janja.ndio maana saizi mechi Za marudiano wanashindwa kuchukua point 3.
 
Nilishasema uwezi kuwa bingwa Bila kushinda games za big six mkanibishia humu nyie pambaneni na top four tu
Siyo kweli,tatizo lililopo hapo ni kwamba pamoja na hao big 6 kumsumbua bado na wadogo wanamsumbua sana. Ila laiti kama angekuwa anazifunga timu ndogo na kutoa draw au kufunga baadhi ya big 6 teams angekuwa kwenye nafasi nzuri sana ya kubeba ubingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe wewe umeona ninachokiona. Hiyo manake Ole ni very average coach

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…