Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilishasema uwezi kuwa bingwa Bila kushinda games za big six mkanibishia humu nyie pambaneni na top four tu
Hili mkuu nakuunga mkono walau kidogo kulingana na muono wangu juu ya united.
Sijui hesabu za ole kuelekea ubingwa amezipiga vipi Ila anakuwa na mtizamo wa timu ndogo kila tunapocheza na timu zinazojiita top 6,anacheza kutafuta droo zaidi kuliko ushindi kwanza. Hii hali inanichukiza sana ila ndio basi tu.
 
Kabisa yaani mgekuwa mmeshinda hata game mbili tu za big six so far huyo city msinge pishana point zaidi ya mbili hata anashinda kiporo chake
 
Mpira kitu ya ajabu yaani kitimu hakina kichwa wala miguu kinamfanza kitu mbaya Mbappe, Neymar, Icardi na Di Maria.

Mkifungwa acheni lawama mjue mpira hautabiriki
 
Voice captured technology

Xhaka "nyie wote mafala tu"

Mnajua kwanini mnaitwa nyumbu?? Check mnavyo fatana fatana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…