Nimeangalia mech kwa utulivu sana hii ole anajilewesha kikosi kiliachoanza ndio alitakiwa akitumie timu inacheza vizur sana cavan na fred watu muhimu sana kwa sosha
Hapa ndipo anaweza kutengeneza kikosi cha kwanza kamili
Shida ipo kwa rashford hiki nacho kirusi chief mkwaawa anawatetea sana hawa wapuuzi
Fred fred fred hatakiwi kukosa mech yoyote labda aumwe
Vijana wamecheza vizur sana