Hawa City kazi kuikamia UNITED tu lao wako shule ya soka.
Dakika kama ya 5 bila kugusa mpira.Ndiyo tabia ya vijitimu vidogo..kukamia timu kubwa...leo wamekutana na moto...
Donestk equalises 1-1..great goal
Duh! wame chomoa?
Donestk equalises 1-1..great goal
Ndiyo..Vida alishindwa kufanya clearance mbali...