Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rashford alipata injury kidogo game iliyopita..Ole ameconfirm kuwa yupo poa..mimi nisingerisk kumchezesha,maana kuna watu wakucheza na kutupatia ushindi.

Pogba anapumzishwa sio lingine. ni kama Bruno game iliyopita
 
Arteta anawachezea mind game

Jmoss, partey ndani, Tierney ndani, Odegard ndani, Pepe ndani, Saka ndani, Rowe ndani, Martinel ndani, Auba ndani, Cedrik ndani, Leno ndani

In short ni full mkoko

Bila kumsahau Xhaka. Najua hamumpendi kabisa huyu jamaa





Lingard yupo wapi na anafanya nini?
 
Ole afutwe kazi kwa lipi?
 

Hii timu ya mikopo inashida sana hata burnley mwenzio alitufunga au hujui?
 
Kwenu huu ndiyo full mkoko ?

Kweli nimeamini tuko level tofauti sana na nyinyi London babies
 
Form ya Man City recently ndiyo inapaswa kuwa threat kwetu na kupambana ili tusipoteze points against weaker teams.

Katika mechi tano alizocheza wameshinda zote sisi tumetoka draw mbili ili kukimbia zaidi kule juu tunapaswa kushinda mechi zetu tatu zijazo ikiwemo mechi na Arsenal.

Man City ana game na Liverpool na Spurs probably anaweza kupoteza points lakini kwa form ya hizo timu kuna uwezekano akazifunga zote kwa urahisi tu.

Mechi yetu ya leo na jumamosi tunapaswa kushinda ili tuendelee kuwakimbia serious opponents kabla hawajarudi kwenye form zao za mwanzo wa ligi.
 
Naongea point maana ,zinawatouch mpaka moyoni ....hapa ndipo kauli ya ukweli unauma inapokuja



Zinawakera mpaka wanavurugwa

Wanaenda kuomba msaada kwa mod
Tatizo sio kutukera ila unaongea matusi km mlevi wa chang'aa.
Leta point ujibiwe kwa point halafu una ubishani wa kindezi sana.
 
man u leo tukishinda tunarudi moja ila nawasi wasi na olee asije panga kikosi usenge akiwaza mechi ya asernal
na leo tukianza kupigwa tu imekula kwetuuuuuu
 

Manchester city hataweza kumfunga liverpool nyumban kwake
 
man u leo tukishinda tunarudi moja ila nawasi wasi na olee asije panga kikosi usenge akiwaza mechi ya asernal
na leo tukianza kupigwa tu imekula kwetuuuuuu
Mkuu ilo ondoa wasi, leo ushindi ni kama kumsukuma mlevi vile.
Unajua gari letu lishawaka, hata wapinzani wetu wanalijua hilo, ndio maana hawaishi kujamba jamba.

Leo tunarudi pale kileleni, na J/Mos tunaenda kunfyonza ubongo aseno.

Cha kuombea City apoteze game zake (matumaini yangu yapo kwa Livakuku & Tottenham) apo uhakika wa kuinua kwapa upo.

GGMU.
 
Kuna kiumbe mmoja anapenda sana kudanga humu, mbaya zaidi hana lugha mzuri.

Kama mashabiki wa Manchester United inabidi tumvumilie tu, yani tumchukilie kama kinyamborero chetu cha kutufurahisha tu, nina imani mafanikio yetu ndio yatakayo mtimua humu.
 
Mimi kama mpinzani kutoka kanda ya Pwani nasema kwamba napiga maombi mfungwe najua ni ngumu ukilinganisha na mlichotuonyesha game iliyopita ila mi ndiyo maombi yangu.
 
We umekuja uzi wetu kule ukasema utakunya kwa mafungu kwenye uzi tumekuvumilia na wewe mvumilie mwenzako.
 
Si bora me nilisema nitakunya! Kwanza kunya ni sheria, haipingwi, yani utake usitake lazima utakunya tu.

Tatizo la hicho kinyamborero chenyewe ni matusi tu utadhani hakijazaliwa vile.

Kuna muda anaker, lakini sisi wengine tuna uziefu wakuishi na watu wakila rangi hua tunavumilia tu, lakini ajue kuna wengine humu ni watu na heshima zao.
We umekuja uzi wetu kule ukasema utakunya kwa mafungu kwenye uzi tumekuvumilia na wewe mvumilie mwenzako.
 
My prediction

Arsenal (2-2) D or (2-3) A Manchester United
1HT (1-1) D
2HT (1-1) D or (1-2) A
Ed Cavani to score at any time in the second half
Saka B to score at any time in the second half
BTTS
O2.5
Corners U10 both teams
Ball possession
Arsenal 53% Manchester United 47%
No red cards
Yellow
Arsenal 1 Manchester United 2
Shots on targets
Arsenal 9 Manchester United 14
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…