Pain killer uko wapi post zako muhimu aise
Kama mimi nilivyokuwa nawatamani kuku hawaBruno alikua anawatamani sana hawa kuku.[emoji23][emoji23]
Shukran mkuu, huu ndio ushabiki bhn [emoji122][emoji122]Kwa spirit ya leo ya united ni timu chache zingeweza kumzuia. Ya kwanza Bayern ya pili Krasnodar.
Wengine wote tungekua na kazi kama ya liva. Leo mmedominate kila kitu. Pongezi kwenu
Na vile hawamkubali wakati kwenye timu yao hawana kama huyu mwamba.Bruno alikua anawatamani sana hawa kuku.[emoji23][emoji23]
Nyie wapuuzi ndio gari limewaka au???
Umeumia auu tupake mate mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]Angalia huyu takataka..
Makelele fc.View attachment 1685337
mpira umewashinda wanaamua kupiga kelele sasa
Isingekuwa kushusha morali ya timu, Bruno anapaswa apewe unahodha. Yule muingereza Harry hana uongozi kabisa.The real captaiin.
Kwa spirit ya leo ya united ni timu chache zingeweza kumzuia. Ya kwanza Bayern ya pili Krasnodar.
Wengine wote tungekua na kazi kama ya liva. Leo mmedominate kila kitu. Pongezi kwenu
Nimesikia tu vamossssss[emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Atavua mwenyewe atake asitake.Isingekuwa kushusha morali ya timu, Bruno anapaswa apewe unahodha. Yule muingereza Harry hana uongozi kabisa.
Ole aliingia defensively zaidi siku ile ila walikuwa wafe goli mbili.Nawaza hawa jamaa tuliwakosaje last week
Tunge fungwa ningelia na beki ya kati.Cavani kapiga header moja ya hatari sana..
Defence yetu bado ni shaky hasa katikati..
Nikiwa kijichi uwakiki barNikiwa Korogwe. Hili goli umeliona ukiwa wapi boss?