Amna,anatia tu huruma camera zikimwonyesha akiwa benchi..
Wengi wanapenda Donny apewe game time kidogo..mimi hajani-impress sana kwenye game alizopewa nafasi lakini kwa sababu ni mazingira mapya na kila mchezaji kuna namna tofauti ya kuadapt basi ni vizuri tuendelea kumpa muda.
Forums kubwa za United watu wanataka mfano kesho BF apumzishwe VdB acheze nafasi yake..wengi sana wapo concerned na development ya VdB ndani ya OT
Liverpool ana odd 3 hizi ni dharau aisee
Leo mtakula kipigo kizito
Yote kwa yoteManchester city mwaka jana alikuwa na 1.48 halafu manchester united alikuwa na 8.25 kisha manchester city akafa nyumbani kwake 2-1 magoli ya martial na rashford hawa watoto last season walikuwa moto sana sijui imekuwaje kwa sasa
Namaanisha odds sio kipimo cha ubora wa timu suala ni dakika 90 ndio maana huko juu unazungumzia manchester united kubeba ubingwa kuwashinda hata mashabiki wa hii timu
Yote kwa yote
Liverpool win
Hii gemu Ole ataimaliza kipindi cha kwanza kama akipanga hesabu zake furesh ..wale Liverpool washakosa Konfidensi..Manutd 2-1 Liverpool
George Best kacheza wakati sisi tunatoka kupata uhuru??!! Sikujua hilo.. ila mpira siye wakongwe kitambo sana, sasa nyie vijana mlioletwa man u na cr7 hamwezi kuijua vizur hili li dubwana manure.Mkuu,,,George best kacheza man u kuanzia mwaka 1963 hadi 1974 ,,
Hakucheza na gigs wala cantona..
Au unasema George best yupi alikuwa kinda mwaka 1992?
Kwani kama Man u hawataki kumuuza AC Milan watalazimisha ?Kuna kipengele cha kumuuza moja kwa moja
Hahahahaha acha kujikuta una busara sana ..mimi nimekuambia Chelsea naijua tangu miaka ya themanini huko ..kabla hata wewe hujazaliwa maana ninyi vijana wa juzi wengi mumeletwa na cr7 2008 hapo.ukongwe wa mtu unaweza kuangaliwa on how he talks and acts..u definitely a 2000s kid
Kama una 30+ bac una delayed milestone.
Mtapigwa tu ..leo Salah yupoLeo ushindi ni kama kumsukuma mlevi vile.
Kwani kama Man u hawataki kumuuza AC Milan watalazimisha ?
Diogo Dalot hawezi kuwa beki wa kutegemea EPL sana sana labda abadilishiwe majukumu awe Right wing tu
Kuna kipengele cha kumuuza moja kwa moja
Hahahahaha acha kujikuta una busara sana ..mimi nimekuambia Chelsea naijua tangu miaka ya themanini huko ..kabla hata wewe hujazaliwa maana ninyi vijana wa juzi wengi mumeletwa na cr7 2008 hapo.
Unajua man u kabla ya kocha Sir Fagason Alex alikuwa nani? Tuulize sisi wakongwe..
Ndo maana tunasema hii man u kurudi enzi ya 2008 itakuwa ngumu sana.
#CFC
We mwenyewe unajua leo Livakuku hatoki OT, labda awe anapaa.Mtapigwa tu ..leo Salah yupo
Mpigeni liverpool huyo ..maana ninyi ni wateja wetu FA huwa tunawapiga sana..We mwenyewe unajua leo Livakuku hatoki OT, labda awe anapaa.
Game hii hata nyumba ya urithi naweka bondi.
Endeleeni kuvimba na kujipangia matokeo
Niwambie tu klopp ni bonge la genius
Leo mnakula goli 5+
Najua kuna watu wanaingia na matokeo hahahaaaa
ikifika saa 22:00 uje kwenye hii thread ujione jinsi ulivyo MJINGAEndeleeni kuvimba na kujipangia matokeo
Niwambie tu klopp ni bonge la genius
Leo mnakula goli 5+
Najua kuna watu wanaingia na matokeo hahahaaaa
ikifika saa 22:00 uje kwenye hii thread ujione jinsi ulivyo MJINGA