OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Mkuu hii man u tunaijua vizuri ni sisi ma fans wakongwe, ninyi vijana wa juzi hamwezi kabisa kuifahamu hii manjesta. .msimu wa jana miezi kama hii mulikuwa moto balaa ..lakini kwenye msimamo tulipishana point moja tu.vipi chelsea ya Timo werner, haverte, Malang sarr, eduardo mendy na thiago silva inaimpact gani kwenye league?
Mpo nafasi ya ngapi vile?..... Pia unahitaji impact gani zaidi ya kuwa msaada kwa timu kuongoza league mkuu? Je kikosi chenu kimekosa impact hata ya kuwa top four mpaka baada ya game 19?
Pia on paper mpaka sahizi Werner na rashford nani anagoli nyingi na assist nyingi? Vipi haverts na bruno nani anacontribution kumzidi mwingine?
Kufikia kiwango kile cha 2008 chini ya Ole itakuwa ni ngumu sana..Pambana na hali yako mazee!
Hii Manchester United ya sasa ikiongeza mafuta tu inaifikia ya 2008.
Dah!! Hizi dharau sasa. Tusubiri tuoneKufikia kiwango kile cha 2008 chini ya Ole itakuwa ni ngumu sana..
Hii ligi naona kabisa Leicester anabeba kama sisi tukiikosa.
hivi mkuu huwezi toa hoja bila kutukana? hivi hapo mbona ungemwambia nilishabikia toka kipindi cha Halland snr au toka kpindi cha kina Richard dunne mbona jibu lilikuwa simple sana,Timu ndogo imeshakutoa semi final
Tuliza kikojoleo hicho
Man utd hii ya kina mashoo ,magwaya nayo ni timu
Acha kuaibisha league kubwa ulaya
fans mkongwe wakati chelsea imeanza fanya vizuri 2004 ukongwe wako upo wapi mkuu? hahahaMkuu hii man u tunaijua vizuri ni sisi ma fans wakongwe, ninyi vijana wa juzi hamwezi kabisa kuifahamu hii manjesta. .msimu wa jana miezi kama hii mulikuwa moto balaa ..lakini kwenye msimamo tulipishana point moja tu.
#CFC
Kumjibu Mtu kama huyo hivo ni matumizi mabaya ya akili....!hivi mkuu huwezi toa hoja bila kutukana? hivi hapo mbona ungemwambia nilishabikia toka kipindi cha Halland snr au toka kpindi cha kina Richard dunne mbona jibu lilikuwa simple sana,
Matusi hayakupeleki kokote toa hoja unapobishiwa matusi sio uungwana maana upo kwenye uzi wao sio uzi wenu wa city.
My prediction top four EPL
1) MANUTD
2) MANCITY
3) LEICESTER CITY
4) LIVERPOOL?
Sio dharau mkuu ..tuna angalia na nyakati zinavokwenda.Dah!! Hizi dharau sasa. Tusubiri tuone
Mkuu Chelsea tuko toka miaka ya 92 uko wakina Giggs na George Best walikuwa ndo makinda. Wakina Erick Cantona unamjua wewe?fans mkongwe wakati chelsea imeanza fanya vizuri 2004 ukongwe wako upo wapi mkuu? hahaha
Kosa gani ?View attachment 1683494
Huyu dogo arudi kuna kosa sosha analifanya hapa
Kwa hiyo ulitumia vibaya akili yako sio?? Maana ulimjibu ingawa kwa matusiKumjibu Mtu kama huyo hivo ni matumizi mabaya ya akili....!
Wewe umeanza ushabiki wa mpira Rooney ameshaotesha nywele.Mkuu Chelsea tuko toka miaka ya 92 uko wakina Giggs na George Best walikuwa ndo makinda. Wakina Erick Cantona unamjua wewe?
Hapa tunaweza kushinda kwa shida sana.Kesho tena ni
==========
McTominay Fred
Rashford Fernandes Pogba
Cavani
==========
Hapa ndio tunapaswa tuwe tunaanza hivi.Au tuache uoga tuende hivi?
================
Pogba Fred
Greenwood Fernandes Rashford
Cavani
========
KarudiWakuu feenandez mi simtaki. Pogba acheze na Tom Cleverly (tumrudishe)
Unapimaje uwezo wa timu kimpira nje ya utaratibu wa kushinda mechi na kupata points? Utd ana kikosi bora, akiboresha kidogo tuu mbinu, hakuna wa kushindana nayeMan utd anaongoza league
Lakin haihitaji degree kujua kuwa hana uwezo wa kubeba EPL
Liver hana matatizo ya kimajeruhi km inabyojengewa hoja bali kiwango kimeshuka, hakuna timu itabaki kwenye peak muda wote. Hata wangelikuwepo bado inge-flopkutwaa ubingwa kwa manchester united kunategemea kwa wapinzani wetu kupata matatizo.
liverpool aendelee kupata matokeo hayo hayo