Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Mkuu tembelea dunian koteHahahahaha...maneno ya wakosaji waliokata tamaa na timu zao, wanaanza kuiwangia Man utd. Hahahahha am humbled you know...hahaha
Usifikili klop yeye ni kilaza namna hio aendelee kupata hayo matokeokutwaa ubingwa kwa manchester united kunategemea kwa wapinzani wetu kupata matatizo.
liverpool aendelee kupata matokeo hayo hayo
Shabiki wa team ndogo unahangaika sana ukute umeanza shabikia City kipindi cha Guardiola, you are very immature in footballUsifikili klop yeye ni kilaza namna hio aendelee kupata hayo matokeo
Liverpool bado ni teami tushio kwenye kugombania ubingwa ,kwa wanaoona wameshamaliza basi wanamatatizo
Timu ndogo imeshakutoa semi finalShabiki wa team ndogo unahangaika sana ukute umeanza shabikia City kipindi cha Guardiola, you are very immature in football
Liverpool nae Henderson out,Wakati mwingine unahitaji bahati mbaya kama hizi kwa wapinzani ili utwae ubingwa.
Vardy naye out anafanyiwa groin surgery.
Imebaki kuwaroga liverpool tu waendeleze form yao ya kupoteana ili tuweke gap kubwa zaidi.
Wakuu hata kama kuna namna ya kutumia paka tutumie tu mwaka huu tuimalize aibu ya miaka 8 bila ndoo.
GGMU
Pambana na hali yako mazee!Hii Manchester ya akina Rashid makame, na masho haina impact yeyote ile ..ikifika March hapa mtaanza kumtafuta nani mchawi..
Shabiki wa team ndogo unahangaika sana ukute umeanza shabikia City kipindi cha Guardiola, you are very immature in football
Kuna approach Ole aliitumia nzuri sana.
Kumpa nafasi kila mchezaji. Akishindwa anatupwa nje.
vipi chelsea ya Timo werner, haverte, Malang sarr, eduardo mendy na thiago silva inaimpact gani kwenye league?Hii Manchester ya akina Rashid makame, na masho haina impact yeyote ile ..ikifika March hapa mtaanza kumtafuta nani mchawi..
Teh teh tehWakati mwingine unahitaji bahati mbaya kama hizi kwa wapinzani ili utwae ubingwa.
Vardy naye out anafanyiwa groin surgery.
Imebaki kuwaroga liverpool tu waendeleze form yao ya kupoteana ili tuweke gap kubwa zaidi.
Wakuu hata kama kuna namna ya kutumia paka tutumie tu mwaka huu tuimalize aibu ya miaka 8 bila ndoo.
GGMU
Futa hiyo prediksheni yako haiwezi kutokea.My prediction top four EPL
1) MANUTD
2) MANCITY
3) LEICESTER CITY
4) LIVERPOOL?