Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu wakati mwingine mfumo wa kocha unaweza kufanya mchezaji asiwike ..mfano Werner au Haverts ..unadhani kuna mchezaji wa kumkata namba Werner hapo man u? Jibu ni hakuna. Ndo maana tunataka Lampard aondoke ili aje kocha mwenye uwezo wa kuwatumia vizuri wachezaji na kupata matokeo.
Ole ni saw na Lampard tu ila upepo umemuendea vizuri.
 
Uchizi huo.
Livakuku yuko nafasi ya 4 lakini hana wazo la ubingwa sembuse wewe!
Hahaha tena jana katobolewa yule liverkuku.. sasa na ninyi mukianza kupapaswa sisi tutachukua kasi ya kutosha kama siyo sisi basi ni Leicester City ..naiyona kabisa ikibeba kombe tena.
#CFC
 

Mkuu ana goli ngap na assist ngap ktk mech 19 za sasa?
 

Una uhakika gani atafika umri wa uchezaji aliofika rooney?
 
Na thamani yote iyo cha ajabu kila dirisha la usajili likifika hakuna hata tetesi za timu kumtaka....
 
Na thamani yote iyo cha ajabu kila dirisha la usajili likifika hakuna hata tetesi za timu kumtaka....
Sababu ana thamani kubwa na yupo Man U, timu ngapi zinaweza kuipokonya Man U mchezaji ambae wanamtaka? Ukitoa Christian Ronaldo ambae Madrid walivunja Record ya Dunia sidhani kama Kuna super star aliondoka hali ya Kuwa tunamuhutaji.

Na sio Rashford tu Hata Pogba timu ngapi Unafikiri zinaweza kum Afford? Chache sana labda tuamue kumuuza kwa bei rahisi, same kwa Bruno na masuper star wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…