Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,029
- 51,567
Chelsea muwe mabingwa. Pale top 4 wakiwa wamelala au ? Fikieni top 4 kwanza. Unataka top 4 uko nafasi ya 8.Mkuu tukikaza kwa hizi game zilizobaki tunaweza kuwa mabingwa kabisa.
Nazungumzia lampard.. nazungumzia chelsea. Sijamzungumzia ole. Usijaribu kuhamisha mada.Kati ya Lampard na Ole nani mkali?
Mkuu tukikaza kwa hizi game zilizobaki tunaweza kuwa mabingwa kabisa.
Nimeshtuka sana alipomjumuisha Mason Greenwood hapo ktk maoni yake. Hawa ni aina ya mashabiki ambao hata timu ikiwa inafanya vibaya hawaangalii mpira.Watu mnaomuongelea vby Greenwood huwa nawaona ni watu msioona mbali na msiojua wachezaji wazuri wakoje, mtoto mdg km Greenwood kwa mpira anaocheza na bado kuna mtu anamsema vby huwa nashangaa sana, kwa kifupi ninyi huwa nawaita washabiki-form yn mchezaji akicheza vzr mechi moja basi ni mchezaji mzr zen akiharibu mechi ijayo ni mbovu.
Kasumba hii ya kipuuzi ndiyo inayo tukost watz mpk leo hatuna timu za maana kwa ukosefu wa subira na papara km hz.
HahahahahahaaMkuu, hiyo taka taka humu huwa hatuijibu kabisa.
Ukiijibu hiyo ni sawa na kuchezea koki ya maji taka, lazima uchafuke tu.
Kwanza humkuti kule kwenye jukwaa lao, yenyewe ni kudanga tu kwenye majukwaa ya wenzie.
Ndio maana me kuna siku nilimuuliza ni wajinsia gani?
Hasa hasa Anthony Martial huyu ana mbadala eneo analocheza kwangu mimi huyu hapaswi kuwepo kikosi cha kwanza. Huyu anapaswa agombee namba na Rashford upande wa kulia.Jack Grealish ni kiumbe anayehitajika kwenye hii timu yetu..
Ole sana inabidi apunguze reliance kwa Martial na Rashford..They have to earn their starting spot by giving absolutely pure class performance..Hatuwezi kuna na front three nyoronyoro vile na ukashinda mataji makubwa.
Hiki ndicho kikosi kiliipiga wiki (7) As Roma kikaja kunyanyaswa na Ac milan pale San siro, Fergie akawaambia alipoulizwa baada ya mechi akasema amewaambia wajifunze wawe km Milan na kweli mwaka uliofuata wakawa km Milan na kubeba UEFA.Throw backView attachment 1682729
Hahahaaaa, mzee wa statistics, yn Mkwawa akikuambia kitu usibishe mana ni lazima atakuletea stats zake from TauredHapana Rashford Ana thamani kuliko Sancho,
Hizi ni Data za Cies, kampuni ya Utafiti ya Michezo.
View attachment 1682735
Wamemueka Rashford kama mchezaji Ghali zaidi Duniani.
Factor walizoweka consideration
1. Perfomance
2. Mkataba wa sasa
3. Nchi na Timu anayochezea.
Tunaweza ku argue wapo wrong ila kiuhalisia hata kama Sancho amemzidi rashford gape si kubwa na hata kama Rashford amemzidi Sancho pia gape sio kubwa.
Rashford yupo on course kuvunja Record ya Rooney kama Mfungaji wetu bora zaidi, so far goli 80 anazo na ndio kwanza amecheza kama Robo tu ya Career yake.
Cha kushangaza ni kwamba huyu mtoto hachezi hovyo na wala hapotezi mipira anaficha mpira na hana maringo, akipata nafasi huwa anafunga tena wkt mwingine ni angle ngumu ila bado anakwambia eti ni hovyo, anataka kumpa majukumu makubwa mtoto mdogo, anataka awe anafunga kila mechi pasipo kujiuliza anacheza nafasi gn.Nimeshtuka sana alipomjumuisha Mason Greenwood hapo ktk maoni yake. Hawa ni aina ya mashabiki ambao hata timu ikiwa inafanya vibaya hawaangalii mpira.
Huwa nikimuangaliaga huyu dogo nafarijika sana kuwa tuna kipaji kama kile kikubwa sana kikosini kwetu.
Wamesha pachikwa rungu.Ndugu zetu liver wanakata mauno tu na burnley dk ya 77 hamna goalg
ile mechi ilikuwa yetu kabisa sema rashford alitufelisha wote kwa tamaa yake.Sijui tuliwakosaje!
Sio mshindani wetu tena huyo.Wamesha pachikwa rungu.
Wachini yake wakishinda mechi inayofuata Liverpool anashuka mpaka nafasi ya naneLiverpool wamepoteana hawaamini macho yao
Inabidi washuke ili tufukuzane nao wakiwa mbali..Wachini yake wakishinda mechi inayofuata Liverpool anashuka mpaka nafasi ya nane
Huu msimu nakwambia tunabeba hili kombe ..amini kwambaChelsea muwe mabingwa. Pale top 4 wakiwa wamelala au ? Fikieni top 4 kwanza. Unataka top 4 uko nafasi ya 8.