Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa sasa man United ipo form ..tuseme ukweli

Huu msimu musipobeba hata ka Europa basi Ole atakuwa na mkosi.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwa sasa man United ipo form ..tuseme ukweli

Huu msimu musipobeba hata ka Europa basi Ole atakuwa na mkosi.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Man U kufufuka kutoka wafu ni kawaida yao. Swala ma kusema eti mtamaliza msimu na kikombe FUTA KABISA! hamuwezi kubeba kombe lolote! Labda Kombe la uji.

#COYG
#COYG
 
Man U kufufuka kutoka wafu ni kawaida yao. Swala ma kusema eti mtamaliza msimu na kikombe FUTA KABISA! hamuwezi kubeba kombe lolote! Labda Kombe la uji.

#COYG
#COYG
Mkuu kwa trend yao wako vizuri kwa sasa manure ni title contender.
Au ndo mbwembwe za Ole za kung'ata na kupuliza

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
✓Fernandes ana-complicate mambo sana,piga pasi nyepesi tu itafika..Game kama hii unaitaji fine passes..sifurahishwi sana na general play yake

✓Rashford anajikuta balloon d'or winner tayari..Lile lilikuwa goli kabisa.

✓Shaw+Pogba wamecheza poa sana..na sasa ndo mtaona ni jinsi gani Shaw lazima aanze ahead of Telles kwenye game kama hizi.

Tumecheza na Liverpool mbovu sana na tumeshindwa kuchukua three points..Anyway,more still to come,let's keep our heads up.

GGMU
 
Ole game za muhimu huwa anafeli Sana ku plan it's like tulivotolewa group stage UEFA na juzi carabao na man city hajifunzi Yani anapenda kuporomoshewa matusi ya kiwango cha Lami

Rashford bado ufalme unamsumbua ndio maana anapambana yeye kama yeye bila kuangalia maslahi ya timu Kwanza

Yote ya yote luke Shaw amefanya yake Leo kwangu ni man of the game.kwa ukuta huu mbovu wa liverpool..Man u kashindwa kupata point kirahisi basi ana safari ndefu kuwania ubingwa wa Aina yoyote msimu huu
 
Man U kufufuka kutoka wafu ni kawaida yao. Swala ma kusema eti mtamaliza msimu na kikombe FUTA KABISA! hamuwezi kubeba kombe lolote! Labda Kombe la uji.

#COYG
#COYG
Unaangaika kaka!! United hizi back, we endelea kushangaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…