Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manutd has the best squad in Europe in terms of depth, quality, strength and flexibility
 
Rashford provided a world class cross that led to a goal and Martial almost scored in three chances what else do you need from them.
Martial will score against Liverpool so may be thereafter you will give him the credit he truly deserves
 
Manutd has the best squad in Europe in terms of depth, quality, strength and flexibility

BEST IN EUROPE!!!

Brother Tusidanganyane..

Timu mpaka leo haina RIGHT WINGER wa kueleweka unasema best in Europe!!?

Kwenye TOP 11 Nzima ya msimamo,Man U ndo tuna defense mbovu cuz tumefungwa goli nyingi kuliko timu 10 nyingine zilizo chini yetu alaf unasema we’re the best in Europe!!?

Kumbuka pia Tumetolewa kizembe kwny UEFA ambalo ndo kombe la best teams in Europe..

UtD tupo vizuri BUT our squad IS NOT THE BEST IN EUROPE..NOT NOW!

Naipenda sn UTD,is my team,lkn tusiipaishe/tusijipe moyo tukasau hali halisi ilivyo..
 
Dah! Kwa hiyo hii thread ndo wageni tunajiondoa taratibu

Hongereni kwa kuongoza ligi baada ya miaka zaidi ya 8 huko.

Nawashauri muisevu table sasa hivi ili mbaki na kumbukumbu kwamba mliwahi kuongoza ligi.
Hahahahaaa, itabidi muanze kukimbia taratibu, kuna yale macheltako hayawezi kuonekana humu kwa muda
 
Mashabiki wa Liverpool huwa siwaelewi... huwa mnaongea kama vile mmebeba epl mara nyingi au mmekuwa tittle contenders mara nyingi miaka 20 iliyopita

Kwenye sports kuna kitu tunaita "enjoying the moment".

Kama ukisubiri kushangilia baada ya kuchukua ubingwa mara nyingi utasubiri sana.

BTW: Liverpool ni the most successful club in UK (domestic and internationals combined).
 
Yaani jamaa wamejifungia kwenye threads zao sasa hivi.

Jumapili itatuambia kama ndo tuache kuja kabisa au tuendelee kuja.
Bora nyie mashabiki wa Liverpool ila macheltako na ma Arse8 yana roho mby hayatakuja humu mpk tutoke pale juu, tena siku hizi ni heri ya Arse8 kdg lkn sio macheltako
 
Bora nyie mashabiki wa Liverpool ila macheltako na ma Arse8 yana roho mby hayatakuja humu mpk tutoke pale juu, tena siku hizi ni heri ya Arse8 kdg lkn sio macheltako

Ndo ushabiki ulivyo mkuu, hakuna kumwombea heri mpinzani.

Na kama hawana uwezo wa kuchukua kombe inabidi wahamie kwenye kuzomea, maana hawana cha kushangilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…