Na huyu ilikuwa mtuuzie,mngelia mee!Standing Hero
Nonetheless, Moyes is in shock. Nimemwona kwenye post-match interview kama vile ka-panick.
That's is what comes with managing big teams. You're not expected to loose sort of games like these.
Look who is talking?!? Ingekuwa mashabiki ndiyo waamuzi Wenger angekuwepo kweli leo? Toka lini mashabiki pale Emirates wamemzomea Wenger na timu, lakini aliendelea kuwepo?!?
Of all people, Arsenal's fans shouldn't say what you have said chifu...
Jamani league bado mbichi sana. Underestimate ManU at your own peril
They will bounce back! Poleni watani. Bado so far the epl title is for ManU to loose.
Ngoja nikamwangalie Johnnie Football and Texas A&M
Nonetheless, Moyes is in shock. Nimemwona kwenye post-match interview kama vile ka-panick.
That's is what comes with managing big teams. You're not expected to loose sort of games like these.
Look who is talking?!? Ingekuwa mashabiki ndiyo waamuzi Wenger angekuwepo kweli leo? Toka lini mashabiki pale Emirates wamemzomea Wenger na timu, lakini aliendelea kuwepo?!?
Of all people, Arsenal's fans shouldn't say what you have said chifu...
Chifu, nakujibu kwa mara ya mwisho kuhusu hili suala.
Mashabiki katika kijisection kimoja pale OT (East End) hawawezi kuwa ndiyo waamuzi juu ya uwepo wa Moyes pale OT! Nimekupa mfano wa jinsi Wenger na timu yake walivyokuwa wanazomewa pale Emirates, lakini unajitoa akili kwa kutoliongelea hilo.
EMT hafahamu chochote kuhusu United. Hii si mara ya kwanza United kucheza vibaya OT; it has happened many times. Recently, with 6-1 loss to Man City; 4-1 loss to Liverpool, 3-2 loss to Athletic Bilbao etc.
Sasa yeye anakurupuka tu bila kuwa na uhakika na anachokisema...
Hehehe he hehe. Inawezekana hizo mechi sikuziona lakini kusema kweli leo Man Utd didn't turn up at all.
Labda Nani, but wengine hapana.
Moyes afukuzwe haraka. Haya mambo ya kufungwa waachiwe Arsenal na wenzao.
Ni maoni yako arifu..hukatazwi kusema hivyo...lakini kama wewe ni mshabiki wa kweli wa United, inabidi uwe hivyo timu inaposhindwa, inaposhinda na inapodroo.
Huwezi kumfukuza kocha uliyempa mkataba wa miaka 6, baada ya michezo 6 tu!!
Washabiki wa kweli ni wachahche wengi wanashabikia kwa ajili ya makombe tu, Timu ikifungwa inakuwa tabu