ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Affirmativeivi leo tutaongoza ligi kweli
Affirmativeivi leo tutaongoza ligi kweli
Chong ni loan ila Angel Gomez ndo ilikuwa free mkuuKwn aliuzwa au loan.
Chong ni loan ila Angel Gomez ndo ilikuwa free mkuu
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
★
Amejua kua nafasi yake pale OT imejaa.
Anaumwa nini??..nani anayemtaka?
Kk hujawahi kufeli ulitabiri nyumbu anashinda Vs Leicester, na juzi Vs city na zote zilitoa big up 👏👏My prediction
Burnley 0 - 2 Manutd
Cavani to score at any time
No BTTS
U2.5
Corners Burnley U7.5 Manutd U5.5
Ball possession 42% for Burnley and 58% Manutd
Yellow cards U2.5 both sides
No red card
Manutd to win both halves
Kumbukeni iliyoisha walitupiga 2 bila nyumbani OT.Hawa burnley huwa wana mpira fulani hivi wa kihuni,sio game rahisi hii ikizingatiwa sisi tunahitaji W zaidi kuliko wao.
Mihuni tu hii mijamaa na kocha wao Sean Dyche...Hii mijamaa kazi yao ni kutafuta fouls tu na kupiga mipira ya juu na yakipata goli kazi inakuwa ni kujidondosha dondosha tu chini kupoteza muda..Hawa burnley huwa wana mpira fulani hivi wa kihuni,sio game rahisi hii ikizingatiwa sisi tunahitaji W zaidi kuliko wao.
Game iliyoisha tuliwafunga 2 bila kwao..Rashford na Martial walitupia..hapo Turf Moor tumeshinda mechi nne mfululizo..Nothing big to worryKumbukeni iliyoisha walitupiga 2 bila nyumbani OT.
sana tu,kwanza yatacheza kwa lengo la kupata droo. Dawa ni kuyafunga mapema sana tu yafunguke.Mihuni tu hii mijamaa na kocha wao Sean Dyche...Hii mijamaa kazi yao ni kutafuta fouls tu na kupiga mipira ya juu na yakipata goli kazi inakuwa ni kujidondosha dondosha tu chini kupoteza muda..