BIG WEEK FOR US..
There is no way kesho tutakubali kutokuongoza ligi i.e kuwa defeated na Burnley..Ningekuwa mimi ndo CEO ningeandika na barua ya kumsack kabisa Ole na kumuonyesha mapema kabla ya game..""kwamba tukishindwa kuamka jumatano kama vinara wa ligi basi kazi hauna"".
Liverpool Jumapili ijayo nayo nategemea tuingie uwanjani kiume..sio tuingie kama kuku mwenye mdondo...Ole msimu huu kawa mweupe kabisa kwenye hizi big games,yaani hii ndo weakness kubwa this season..akichilia mbali kwanza kuwa outshined kwenye game zenye pressure..
So,
My Starting XI vs Burnley Kesho
============
De Gea
AWB Tuanzebe Maguire Telles
Matic McTominay
Rashford Fernandes Martial
Cavani
============
Bailly,Lindelof,Shaw,Pogba wote walipata injuries kwa mujibu wa Ole na ni doubtfull kwa game ya kesho..Atakayekuwa fit ataingia kwenye nafasi yake direct.