Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jesse alikuwa na matatizo nje ya uwanja, ndio maana amedrop form sana.

Na hadi leo pengine chini ya mou akawa mchezaji nzuri, mou anapenda 10 zinazokaba.
 
Aisee, Kwamba Fa uweke full mziki? Na Fa ni Bora kuliko ligi?

Kwamba Arsenal nao ni timu kubwa sana maana ligi wapo ovyo ila Fa wanabeba sana tu.

Mechi ya JUMANNE ni muhimu sana tukishinda ama draw ina maana tunampita liver na kuongoza ligi kwa Mara ya kwanza Toka Fergie Astaafu.

Mfano jana unapanga full mziki halafu Bruno ama Fred anaumia miezi 3 Unafikiri it's worth it?
 
Halafu kitimu chenyewe ni Watford.
 
Kwamba Arsenal nao ni timu kubwa sana maana ligi wapo ovyo ila Fa wanabeba sana tu.

Mbona kama unatumia nguvu
..

Kwahiyo wewe mwenye timu kubwa mara ya mwisho kubeba kombe lolote ni lini?

Haya tumemuona huyo Buruno Penandezi wenu kwenye game ya semi final juzi.

Au timu kubwa makombe yenu ni Semi Final?
 
Kwanini mkuu?
Tunahitaji kiungo wa kudrive timu mbele,kucreate na mwenye spidi pia hapo katikati..Nimemcheki VdB naona kwa timu yetu hatakuwa na mchango mkubwa..mimi nilichokuwa natarajia kutoka kwake ni kuwa hata kama Pogba na Fernandes hawapo kwenye timu yeye aweze kufanya kazi wanayofanya hata kwa asilimia fulani,kitu ambacho hajaweza kufanya..

Kumpa muda ni jambo jema,lakini analysis inabidi ifanyike mapema kama anaweza kwenda sehemu nyingine ambapo ataweza kushine why not?
 
kwel kabisa Mkuu 👍
 

Point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…