Kumbe wewe bure kabisa kwa taarifa yako moja ya vitu vilivyomsumbua sana Arsene Wenger akiwa manager Wa Arsenal kuchukua ubingwa ni hilo la kukomaa kwa big four wenzake ilihali wadogo wakawa wanampa shida. Sasa kimahesabu tu, big six wanajieleza wako Sita na hawa wadogo wengine wako wangapi? Unakomaa na big six zaidi halafu unapoteza game nyingi kwa hao kina Burnley na wenzake unahisi utachukua ndoo!?
2300 hours.Mechi itakuwa muda gani?
23:15 pm EAT.Mechi itakuwa muda gani?
Ole kaua kipajiThrowback
Lingard kuna kipindi aliwasha moto hadi akawa Mourinho's favourite. yaani jina lake nahisi ndo lilikuwa la kwanza kuwekwa kikosini..Hata mimi nilianza kuwa na matarajio mazuri na yeye..yaani ni mchezaji aliyekuwa anacheza kwa akili nyingi sana kwa kile kipindi..movement kali kali kwenye mechi n.k...dribble za hatari,na itoshe kusema hatujapata dribbles mzuri so far ukiacha zile zake.
All over sudden jamaa akapotea..swali ninalojiuliza hivi ni nini hapa huwa kinatokea?..ni fluke ama?
Nimemkumbuka tu Jesse' Lingardinho..aka JLingz.
Mbona sioni kama kikosi kina shida au unaumia martial hajaanza?HAWA MAKOCHA WANAJITAKIAGA LAWAMA WENYEWE, KWA NINI ASIPANGE FULL MZIKI (KAMA LIVERPOOL JANA) HATA UKIFUNGWA UNAKUWA HUNA LAWAMA??View attachment 1673193