Moyes kaleta uchuro mtaani, bundi mjengoni....minong'ono imeshaanza atimuliwe kabla hali haijawa mbaya zaidi......Je, SAF atarudi ulingoni japo kwa msimu huu kuja kuokoa jahazi lililoanza kuvuja mapema kiasi hiki!? Tutege masikio ili kusikia yatakayojiri katika siku za usoni.