Hahhaa bailly hawez kucheza mech 5 bila kwenda hospital labda kwa sasa mkuu ila akiwa fit ni shidaVictor atakuw ancheza mech ndog ndogo kama vs Watford
Dogo aje ngoja tuende kwny page ya Man huko tukawajaze watu upepo
Inabidi game zingine anapumzishwa mfano game ya burnely na Watford inbid apumzike amsubiri livaHahhaa bailly hawez kucheza mech 5 bila kwenda hospital labda kwa sasa mkuu ila akiwa fit ni shida
Watkins amepiga ile..nilijua kamba tayariKuna header moja alitoa nikasema kuna mtu pale golin leo
Usajili wa Mourinho huoHahhaa bailly hawez kucheza mech 5 bila kwenda hospital labda kwa sasa mkuu ila akiwa fit ni shida
Jamaa akatoa..Watkins amepiga ile..nilijua kamba tayari
UshammkumbukaHivi lini tunaenda kumsalimia mourinho
labile ni world class playerNilijiandaa kupokea matokeo yoyote ya ushindi dhidi ya Aston Villa(based on their current form) lkn nimesikitika kiasi kutokuondoka na clean sheet..Eric Bailly man of the match kama wakuu walivyosema hapo juu jamaa nadhani huyu ndiye anapaswa kuwa partner wa Maguire(if he stays fit) ameonyesha uimara kwenye mipira ya hewani anakasi anajua kunusa hatari na Leo amecheza kwa utulivu mkubwa sana hata idadi ya fouls alizocheza ni chache mno..another good thing ni kwamba yule Pogba tuliyemzoea anaanza kuja taratibu..
Pogba akiwa na Defensive Midfielder wawili huwa anakuwa mtamu sana.Nilijiandaa kupokea matokeo yoyote ya ushindi dhidi ya Aston Villa(based on their current form) lkn nimesikitika kiasi kutokuondoka na clean sheet..Eric Bailly man of the match kama wakuu walivyosema hapo juu jamaa nadhani huyu ndiye anapaswa kuwa partner wa Maguire(if he stays fit) ameonyesha uimara kwenye mipira ya hewani anakasi anajua kunusa hatari na Leo amecheza kwa utulivu mkubwa sana hata idadi ya fouls alizocheza ni chache mno..another good thing ni kwamba yule Pogba tuliyemzoea anaanza kuja taratibu..
Cavan akiwepo mambo ni murua kabisaCity sijui tutamtoa EFL?..
Anyway..Uwezo upo,ni kuwa Clinical kule mbele.
Matic ni mzima anajua kuforce sanaawale wenzangu na mimi tulionyimwa jicho la tatu, kuna jamaa anaitwa Eric Laurie pale twitter.
ni Performance Analyst & Academy Coach pale molde, anaweza kuwa msaada.
binafsi nilikuwa simuelewi matic lakini baada ya kusoma analysis tofauti ndipo nikaanza kumchunguza nemanja matic anapokuwepo uwanjani na faida tunayoipata.
kwa mfano leo alipoingia tulikuwa tunacheza beki wa 3 pale nyuma na muda huo huo ................
=================
Bailly is 1 of the most unconventional central defenders I can remember. The way he positions himself & orientates his body allows for him to do a lot of things other defenders can´t, however it also forces him into difficult situations when he disregards traditional positioning.View attachment 1665151
Lala salama MkuuUsiku mwema WAJUMBE.
Naenda kulala raha kabisa.
zile pass angekuwa anapata Grealish Now ingekuwa saba bilaPogba akiwa na Defensive Midfielder wawili huwa anakuwa mtamu sana.
Leo nimemuona alikuwa anatoa kona za AV hatari sana.