Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
fala kweli wewe kama si chelsea bhasi asernaleeee ndo mnavicha kwa sasaNiwembie tu nyie nyumba hamna Maisha marefu mnaanza kudiscus ubingwa
Yaan hii united ichukue epl, labda epl ya buzaa
ijumaa tu humu ndani upepo utabadilika
Aston villa anakuja kuwaonesha kuwa epl sio ya kubahatisbahatisha Kama gori la Rashford
Kama una wasiwasi na united acha tu vijana wako wacheze hivyo hivyo kwa sababu united hawezi kukutoa hapo kwa vile hawezi kwenda game nne bila drawWasiwasi wangu siyo maendeleo ya Man Utd, maana najua hamwezi kwenda game 4 bila draw, isipokuwa ni form ya timu yangu.
Vijana wanaonekana kama hawana motivation, game moja wanacheza vizuri, inayofata wanazingua.
Inasikitisha sanafala kweli wewe kama si chelsea bhasi asernaleeee ndo mnavicha kwa sasa
Mkuu Rafael alikuwa password yuleRafael alikua mzuri, lakini hafikii miziki ya A wan Bissaka.
Ukiachilia mbali G.Navel na Valencia, Bissaka ndie namuona anaweza kuvaa viatu vyao.
Sana leo mtashinda Southampton ni fixture ngumu japo bado ni timu inayofungika pia
Mkuu jifunze kwanza kuandika.Niwembie tu nyie nyumba hamna Maisha marefu mnaanza kudiscus ubingwa
Yaan hii united ichukue epl, labda epl ya buzaa
ijumaa tu humu ndani upepo utabadilika
Aston villa anakuja kuwaonesha kuwa epl sio ya kubahatisbahatisha Kama gori la Rashford
😀 😀 😀 Yani sisi unatutishia Aston Villa?Niwembie tu nyie nyumba hamna Maisha marefu mnaanza kudiscus ubingwa
Yaan hii united ichukue epl, labda epl ya buzaa
ijumaa tu humu ndani upepo utabadilika
Aston villa anakuja kuwaonesha kuwa epl sio ya kubahatisbahatisha Kama gori la Rashford
Leicester city alipobeba ubingwa washambuliaji wao walikuwa ni mess na ronaldo et?Niwembie tu nyie nyumba hamna Maisha marefu mnaanza kudiscus ubingwa
Yaan hii united ichukue epl, labda epl ya buzaa
ijumaa tu humu ndani upepo utabadilika
Aston villa anakuja kuwaonesha kuwa epl sio ya kubahatisbahatisha Kama gori la Rashford
Huwez kuwa wa pili kama huwez kushinda mech 3 mfululizo ushabik umekujaaInasikitisha sana
Unakuta nyumbu inasimama kabisa inasema
"yaani game yetu na Liverpool itakuwa promoted sana kwan ndio inaenda kuaamua bingwa ni nani "
Unabaki unajiuliza hii mutu iko na akili timamu kweli, hiv hii United ndio ya kuamua bingwa wakati kuna game zaidi ya 10+ mbele,mbaya zaidi kumantain game tatu win Ni sawa na magufuli kuuza matikiti tandika
Unabaki unase hiiii
Aiseee
Kama una wasiwasi na united acha tu vijana wako wacheze hivyo hivyo kwa sababu united hawezi kukutoa hapo kwa vile hawezi kwenda game nne bila draw
fala kweli wewe kama si chelsea bhasi asernaleeee ndo mnavicha kwa sasa
Sikia hii nyimbuInasikitisha sana
Unakuta nyumbu inasimama kabisa inasema
"yaani game yetu na Liverpool itakuwa promoted sana kwan ndio inaenda kuaamua bingwa ni nani "
Unabaki unajiuliza hii mutu iko na akili timamu kweli, hiv hii United ndio ya kuamua bingwa wakati kuna game zaidi ya 10+ mbele,mbaya zaidi kumantain game tatu win Ni sawa na magufuli kuuza matikiti tandika
Unabaki unase hiiii
Aiseee
Bingwa atakuwa City popoma wwInasikitisha sana
Unakuta nyumbu inasimama kabisa inasema
"yaani game yetu na Liverpool itakuwa promoted sana kwan ndio inaenda kuaamua bingwa ni nani "
Unabaki unajiuliza hii mutu iko na akili timamu kweli, hiv hii United ndio ya kuamua bingwa wakati kuna game zaidi ya 10+ mbele,mbaya zaidi kumantain game tatu win Ni sawa na magufuli kuuza matikiti tandika
Unabaki unase hiiii
Aiseee
Sanaa city kuchukua ubingwa
Man utd ya sasa😀 😀 😀 Yani sisi unatutishia Aston Villa?
MahrezLeicester city alipobeba ubingwa washambuliaji wao walikuwa ni mess na ronaldo et?
Cavan hali aliyokuwa nayo pale angepaisha hadi nje ya uwanja trust meJana asingefunga sijui ingekuwaje ukianglia had anaingia kwenye 18 mwenye alikuwa na uwezo ea kufunga alikuwa cavan aliachiwa space sana na wolves lakin rashford akachagua kupiga bahat nzur maamuzi yake yakawa yameenda sahihi bahati ipo
Ujui mpira wwUnadhani hawajayapitia hayo!!?au unaona vinakuja kirahisi rahisi.... endelea kubwabwaja na tecno yako kisa una uhakika wa WhatsApp mwakani wenzako wanaendelea kupiga Jacks
ww jamaa unanikoshaga sana na shombo zakoMan utd ya sasa
Haina uwezo wa kuifunga aston Villa ya sasa
Nasema uongo ndugu zangu
Hao uliowataja wakiwa leicester city hawajawah kushinda mech ya united wakat wanachukua ubingwa ila waliifunga city 3-1Mahrez
Vardy
Kina kante
Hivi uliona moto wao
Unaweza fananisha na nyumbu za sasa
Acha utani braza