Wanangu Wolves nitibulieni hawa Nyumbu leo, nilale kwa amani.
Umuhimu wake hasa uko wapi kwenye game ya leo?,Fred hawezi kufanya hiyo kazi?..Tunahitaji more offensive players wengi kwenye kikosi..sio kumtegemea tu Fernandes.
Mshakamata?Nawambie tu mkiona Man City tumekamata usukani hapo juu, basi mtabaki mnalia nyie na ole na Mungu wenu
Ndio epl itakuwa inaenda etihad namna hio
Hata Kama zitakuwa zimebaki game 10 ,city tukisimama kule juu, mtabaki mnaombea kufugwa sisi tunatoboa tuu
Hii post ya mtu wa mpira kweli? HahahahahDuh
Usajili wa Ighalo, De Beek, Cavani, Pellistri na Traore hautoshi kuhitimisha ubishi kumbe?
Ila leo timu yetu inashinda mkuuMatchday.
Tumekuwa bottling masters..Kila inapotokea nafasi ya kujichimbia nafasi ya juu kwa mara nyingi tumekuwa tukipoteza hizo chances.
=======
My XI against Wolves..Today 23:00 EAT
Henderson
AWB Bailly Maguire Shaw
Fernandes Fred Pogba
Greenwood Cavani Rashford
----
✓Kama AWB bado hayupo fit Tuanzebe acheze na aambiwe yeye sio mtoto acheze kiutuuzima
✓Pogba aambiwe akiwa deep acheze simple..
✓Defence pia bado inabidi i-stepup,not good enough.
======
GGMU
Leo hamtaambulia kitu msiba haupo hapa leo kichapo kwa wolves kina mhusuWolverhampton
Tuanze kuweka maturubai au hadi mgonjwa akate moto mazima
Doctor vipi mbona umepaniki?Arsenal haiwezi kuchukua ubingwa. Man u inachukua?
Inabidi Mbweha wawe kumi ili kubalansi idadi ya wachezaji uwanjani.Leo ushindi ni muhimu kuliko siku zote.
Sorskjaer asituangushe, apange nondo za kweli.
Leo aingie na 4 2 4 1
Cavani
Martial Pogba Fernandez Rashfood
Fred Mac Tomney
Show Bailey Maguire AW Bissaka
Degea.
Kikosi hichapo ata nyumba ya urithi naweka bondi.
Hapana kumbe hao wote walisajiliwa na Crystal PalaceHii post ya mtu wa mpira kweli? Hahahahah
4 2 4 1 ndiyo formation gani hii? Mbona unatia aibu we mluguruLeo ushindi ni muhimu kuliko siku zote.
Sorskjaer asituangushe, apange nondo za kweli.
Leo aingie na 4 2 4 1
Cavani
Martial Pogba Fernandez Rashfood
Fred Mac Tomney
Show Bailey Maguire AW Bissaka
Degea.
Kikosi hichapo ata nyumba ya urithi naweka bondi.
Jinsi ligi inavyokwenda ni changamoto waweza kuwa wa pili leo kisha game inayofuata ukipoteza unakuwa wa saba wacha hawa wolves tuwakalie vizuri kitaeleweka
Cavani na ighalo wapo kwenye mipango ya muda mrefu?Hapana kumbe hao wote walisajiliwa na Crystal Palace
Nafeel hivyo pia..Wolves hawapo kwenye ule ubora wao tuliouzoea..tukishindwa kupata points tatu itakuwa ni mwendelezo wa upumbavu kutoka kwetuIla leo timu yetu inashinda mkuu
Nafeel hivyo pia..Wolves hawapo kwenye ule ubora wao tuliouzoea..tukishindwa kupata points tatu itakuwa ni mwendelezo wa upumbavu kutoka kwetu