Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa mwarabu pesa si tatizo
 
Big Sam mbaya aisee, kidogo atuue home.

Hii game ni kati ya game zinazonikumbusha kuwa ubingwa wa mwaka huu ni mgumu sana.

Halafu kibaya zaidi ukiacha Man City, wapinzani wote wamepoteza points.
Ligi ngumu sana big sam kwa timu zinazoshuka daraja kuzinusuru yupo poa Kwa upande wangu mkuu namuona aston villa akifanya vizur ligi hii kama leo atapata natokeo kwa chelsea inaweza kuwa timu tishio hata mpira wanaocheza wa moto sana
 
Astonvilla sana sana atapata nafasi ya kucheza Europa kama akiendelea kukaza.

Yeye na Everton wamekuwa wasumbufu sana msimu huu.

Kuna Man City, huyu jamaa tunamdharau lakini namwona kabisa anaweza kuuwasha muda wowote.
 
Mkuu halafu kuna inshu tuliongeaga pm kitambo
 
Kitachomfelisha kuweka wazi bifu lake na delle ali kipind kama hiki alitakiwa wachezaj wote wawe kitu kimoja walianza ligi vizur sana ila kwa sasa wanayumba
Si vizuri sana wachezaji wakamzoea sana kocha,lakini pia ni vibaya kocha kuogopwa sana..wachezaji wanakuwa na pressure isiyo na maana.

Mourinho kila anapoenda ni lazima agombane tu na mtu.
 
Unapaki basi dakika 90 unategemea kuchukua epl

Morhno mbinu zake za hovyo

Crystal palace kachomoa dakika za 80

Liverpool hivo hivo

Westaham walimfunga gori tatu hizo dakika

Leo wolves hizo dakika

Inamaana kocha hayaoni hayo

Zile black nigga za jose, zinakiuwaga hoi

Spurs anafungika hizo dakika, unaweza mpiga hata gori tana

Hivi nyie nyumbu mlifungwa vip na Spurs gori 6

Kudadeki,
 
Uyo Evaton nime mtabilia kumaliza nafasi 2 msimu huu.
Astonvilla sana sana atapata nafasi ya kucheza Europa kama akiendelea kukaza.

Yeye na Everton wamekuwa wasumbufu sana msimu huu.

Kuna Man City, huyu jamaa tunamdharau lakini namwona kabisa anaweza kuuwasha muda wowote.
 
Ligi itaisha hivi

Manchester United

Evaton

Liverpool

Chelsea.
..................................................

Manchester City

Tottenham
....................................................
Taka taka zingine zitafuatia huko.

Bingwa (Manchester United) atachukua kwa tofauti ya points 5.
Ina maana umechagua kuwa wa tatu au chini zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…