Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Team news!


Anyway,ngoja tuone what Ole is try to show us.

GGMU
 
Huwa napenda kupitia comments hapa za wachambuzi uchwara,wajuaji,watabiri halafu baada ya game narudi Tena kuona watu wanavyoumbuka
 
KWELI DAWA ZIPO..YAANI MARTIAL NA UTOPOLO WOTE ULE WA KUKOSA MAGOLI YA WAZI BADO ANAMUWEKA CAVANI NJE...dunia haiishi maajabu.
 
Kila mtu na historia yake kwnye kuipenda team.....

Mfano Simba niliipenda kimasihara kwa kuwa against na wenzangu shulen darasa la tano hii ilikuwa class kila mtu Yanga basi me nikasema me Simba haahaaha ndoa na Simba mnyama ikaanzia hapo.
Huu mfano wa Simba tupo sawa kabisa mkuu mpaka darasa ....kipindi hicho cha darasa la tano kila wakati wa mapumziko chandimu kilikuwa kinapigwa kati ya Simba na Yanga Kwa wale wa darasa letu Tu....
nilikua napenda Sana mpira lakini kutokana na Wana Yanga kua wengi Sana nikawa sipati namba (kipindi sina upenzi wowote hapo ila mi shida yangu nicheze mpira) sasa hawa Wana simba walikua wanapelea pelea kwahiyo nikawa napata namba sana Simba.... ushindani,ubishi, na kutokubali kushindwa iwe uwanjani ama class nikajikuta ni mtetezi wa simba kweli kweli 😁 baadae nkawa mtazamaji wa Simba na Yanga huku nikiwa na marafiki wale wale ambao wengi wakawa tukifungwa wakati mechi inaendelea wananizomea mno ....na mimi nikawa sikubali ...goli likisawazishwa namimi nakinukisha ....baadae nikajikuta automatically mwana Simba...

huku Kwa Manchester sina historia kiivyo sababu za kimazingira tu (hasa marafiki zangu kipindi nakua almost 80% walikua ni manutd fans) zilinifanya niwe naangalia manutd pia na kwakua napenda amsha amsha za kimpira nikajikuta tu niliwepo mahali watajua tu hapa manutd fan yupo....
japo utoton nlikua napenda sana kuwaangalia Chelsea akina drogba, kalou, malouda, cech, bosingwa, Alex,lampard, anelka, Terry, Torres , shevishenko etc ndo timu ya Kwanza kua naifuatilia sema kutokana na utopolo walokua wanacheza sometimes wakantia hasira nkaacha kuwaangalia (kuchungulia maana nlikua sina pesa kipindi hicho) nkaja jikuta ni AIG ,AON ...Kwa kina CR7, Rooney, Luis Nani na wengineo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…