Kwa hizi akili za makalio, wacha tu leed wawapige
Hahahaha daaa mwana hapa umetuvua nguo washika bunduki wa londonKujadili Arsenal katika uzi wa United ni kutudharau sana mashabiki wa United.
Nendeni kwenye jukwaa lenu mkajadili relegation battle.
Misimu miwili kafanya kazi ya maana championship kocha wa leeds pia hata klopp mi sioni kama kuna shida ujue yule jamaa kaandaa timu ya ushindi kwa kuijenga mwenyewe halafu nani alitegemea liverpool kuamka haraka kama sasa? Buyern munich tayar walikuwa na wachezaj wazur sana tena wakomavu kocha kumuacha bila tuzo sioni kama inshu mm mwenyewe ningekwenda na klopp lig ya ujeruman inajulikana uefa mech 8 njoo epl uone huo ni mtazamo wangu.Sijui Mkuu, mimi nilihisi angeweza kuchukua kocha wa Bayern.
Lakini pia swala la Bielsa kuwa kwenye top 3 nilishangaa.
Unaijua kesho yako? Na liverpool kushika namba 1?Leo mkishinda mnaingia top four
Kwa muda lakin.....
Ila wale huwa kufunga goli 3 au 4 sio shida je sisi tunaweza kwenda na huo mwendo? HahahahaMan Utd vs Leeds
Mechi inayochezwa leo sio tu ni ya kutafuta point 3, ni mechi ya Kihistoria ni mechi inayotambuliwa kama Rose Rivarly
Asili ya uhasama wa Leeds na Man utd ni Leeds kutoka mji wa Yorkshire na Man Utd kutoka mji wa Lancaster ambao karne ya 15 watawala wa maeneo hayo 2 walipigana vita kupigania kiti cha kuongoza Uingereza (War of Roses)
Japo Man Utd kwa miaka ya hivi karibuni amekuwa akimuhesabu Leeds kama mpinzani mkubwa kwenye soka nyuma ya Liverpool, City, Chelsea kisha Arsenal... Leeds kwao Man ni hasimu namba 1
Mechi ya leo ni ngumu, japo nina imani tutapata ushindi kutokana na tabia ya Leeds/Bielsa kufunguka.
GGMU
Angalia City yupo wapUnaijua kesho yako? Na liverpool kushika namba 1?
Aliingia top 4 toka ligi ianze?Angalia City yupo wap
Aliingia top 4 toka ligi ianze?
HIlo nimeliwaza pia pale penye matumaini tunajikuta tunapata matokeo mabovu alaa kuli hali ushindi wa leo ni zaidi ya muhimuLeo sasa, Ole asituangushe.
Tushinde ili tuendelee kumpumulia Liverpool matakoni.
Leo sasa, Ole asituangushe.
Tushinde ili tuendelee kumpumulia Liverpool matakoni.
Ila wale huwa kufunga goli 3 au 4 sio shida je sisi tunaweza kwenda na huo mwendo? Hahahaha
Labda ameongea kiutani lakini sio sawa, tukumbuke form is temporary but class is permanent. Kwa hii EPL ukishinda mechi tatu tu mfululizo upo nafasi ya sita kwahyo Arsenal hajachelewa sana, ikiwa tu watamuondoa Arteta na kuleta coach mwingine mwenye uzoefu zaidi yake. Nje ya hapo tutazidi kuwahurumia kila siku maana kwasasa it's not funny wakifungwa kama zamani na kwa form wanayoenda nayo, financially as a club wata-drop sana even though Wenger alikuwa mtaalamu wa kubalance vitabu.Hahahaha daaa mwana hapa umetuvua nguo washika bunduki wa london
naitabiria man united kumaliza nafasi ya pili epl.