Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We acha Kaka katika vitu ambavyo Liverpool tumebahatika navyo ni kuwa na Klopp as coach. Amerudisha heshima yetu iliyopotea.
 
Tumesema sana hapa with Ole hatuendi popote. Hii ilikuwa kauli yangu kabla hata hatujatoka UCL, ukiwaangalia Liverpool kwa mchezaji mmoja mmoja kila idara hana tofauti kabisa na sisi wachezaji ni wale wale in terms of quality.

Tofauti yetu sisi na wao ni uwezo wa safu ya ufundi na ule uongozi wa juu. Tuna chief strategist (Ed) mwenye uwezo mdogo sana ambaye ndiye mwenye jukumu la ku-assemble talents from coaching staffs to scouts yeye anaamini pesa ndiyo suluhu pekee ya kujenga timu kitu ambacho sio kweli ni zaidi ya pesa ili uwe na timu nzuri.

Unahitaji watu smart wakuzunguke ili ujenge timu nzuri kwa kuanzia kwa sisi tunahitaji mkurugenzi wa ufundi na aingie ktk bodi huyu ndiye awe immediate supervisor wa kocha na awe anasimamia football decisions zote na Ed abaki ktk biashara tu.

Kwa mwenendo wetu kwa sasa kama tungekuwa na DOF muda mrefu sana Ole kibarua kingekuwa kimeota nyasi au angeongeza nguvu safu ya ufundi kwa kuajiri tactics specialist coach. Wale wasaidizi wa Ole na yeye mwenyewe hakuna mtu smart pale kila siku tunafunguwa magoli yale yale na huoni ubunifu timu ikipoteana.
 
Darmian,

Pia niliwahi kuelezea hapa jinsi Liverpool (Peter Moore) na Manchester city (Ferran Sorriano) walivyoweza kuzitumia vizuri sana hizi nafasi za ma-chief strategist maarufu kama football executive kuwa na watu ambao ni very talented chini ya vipindi vyao wali-assemble smart talents kuwasaidia kujenga timu zao. Na mafanikio ya hizi timu yamekuja chini yao.

Hii nafasi ya Ed inahitaji mtu mjanja sana ambaye haegemei kuendesha timu upande mmoja tu wa biashara ila awe anaweza pia kutafuta watu wa kumsaidia kujenga timu imara upande wa mpira na sio brand pekee.

Kuna muda huwa naamini Ed anamuacha Ole ili kutupotezea focus tuengemee kuamini mtu incompetent ni Ole pekee ila in reality tatizo la Manchester United ni zaidi ya coaching staffs linaenda mpaka uongozi wa juu hatuna watu wa kusuka mipango ya kimpira nje ya akili ya kutumia pesa. Bodi nzima haina mtu mwenye background ya mpira hata mmoja ktk watu kumi na mbili. Kwa Liverpool wana Kenny Daglish kama mjumbe wa bodi kutoa muongozo wa kimpira.
 
True mkuu..haya unayoongea ni ya kweli kabisa.
 
Hata Bruno hana sema ana fighting spirit

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
United kwa sasa wachezaji siyo shida, wapo na ni wazuri, kazi ipo benchi la ufundi ku-improve

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
3
 
Manutd today goes fourth in the EPL with Tottenham expected to win against Leicester goes third...lots of reasons to pip Leeds today with O3.5 goals galore...miss not.
 
Ukiachilia mbali ubora wa Klopp Liverpool kila mchezaji anayesajiliwa anayo DNA inayoshabihiana na ile ya klabu. That way hata akiingia squad player anajua nini anapaswa kufanya uwanjani.

Pia kila mchezaji wao anayo quality ya kutosha kuisaidia timu hata awe ni squad player. Angalia kwa mfano Origi anachofanya akiingia uwanjani, Jota, Minamino, Jones, ... Hao wote siyo first elevenors.
 
True..

Vipi leo ukikosa matokea vs Leicester bado utaendelea kutembea kifua mbele kuwa EPL yenu?
 
Liver ina talents za kawaifa saana, impact kubwa inatoka kwa kocha

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…