Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bielsa anafungika jumapili?
Tukijitahidi sare. Leeds wanashambulia sana na sisi ukuta wetu una makosa makosa kwa hiyo ni lazima wafunge si chini ya goli mbili.

Bahati pekee kwetu pia na wao wana ukuta mbovu kama wetu. Swali halisi hapa, Je ni nani atakuwa form j'pili atubebe? Sioni performance consistency kwa mchezaji wetu yeyote yule ukimuondoa Bruno pekee.

We are also very poor at home (Old Trafford).
 
Hiki ndo kichaka chao cha kujifcha hii ya mwaka huu ina tofaut gan na ya 2013 ambapo kocha bora alikuwa yule mzee wa bayern ambapo nae pia alizoa makombe yte makubwa kwann hawakumpa huyo klop ????
 
Hivi Liverpool amesurvive vipi na majeraha yote waliokuwa nayo recently?..Wanaongozaje ligi?.

Inabidi tukubali Jurgen Klopp ni master kweli..na United tunahitaji kocha atleast anayemfikia Klopp hata kwa asilimia 70 ili tuweze kupata mafanikio kiuhakika..United with Ole ni kuzunguka tu duara lenye good run of form kiasi na bottling za maana ndani yake,bado hainiingii akilini ni jinsi gani tumeshindwa kucheza fainali yoyote msimu uliopita na ni kivipi tumeshindwa kwenda last 16 za UCL baada ya kuwa na mwanzo mzuri kwenye mechi za makundi(PSG+Leipzig).

Anyway,acha tuone venye mambo yataenda kwenye ligi,maana huyu Ole bado yupo sana
 
Front three ya Liverpool this season imewabeba sana pale walipohitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…