Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Giggsy inabidi apumzike na aingie Zaha ama Januzaj...Jones apumzike aingie Carrick..itategemeana na matokeo, kama United wakiwa wanaongoza, Kagawa itabidi apumzike na aingie Anderson.

Ningekuwa kocha ningefanya hivyo.
 
Ngoma hailali hii..lazima mshindi apatikane leo..hata kwa penati kama dk. 90/120 zikiwa droo
 
Kuna Jamaa humu alidai chicharito hafai kuanza anachoka mapema .. Anafaa sub tu ..
 
waynerooneyluissuarezchallenge20130925_576x324.jpg
 
Kuna Jamaa humu alidai chicharito hafai kuanza anachoka mapema .. Anafaa sub tu ..

Ndiyo. Mimi hapa. Kwa sababu amefunga ndiyo unasema hivyo? Javier hawezi kucheza dk. 90.

Yeye ni super sub; ingawa hata super subs uwa nyakati zingine wanacheza vizuri wakianza. Kumbuka kazi za Ole Gunnar!
 
Kuna Jamaa humu alidai chicharito hafai kuanza anachoka mapema .. Anafaa sub tu ..

Kufunga sio hoja ya kufaa kuanza, kiukweli Chicharito akicheza dkk 90 speed yake huwa inashuka sana kutokana na kucheza kwa kasi sana. Ni mzuri zaidi akiingia sub kwa kuwa mabeki wanakuwa wamechoka kidogo kwa speed yake anakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kufunga
 
kuna conjecture/theory kwamba Suarez akicheza kunakuwa na 70% chance ya liverpool kufungwa/ ngoja tuone..
 
Kufunga sio hoja ya kufaa kuanza, kiukweli Chicharito akicheza dkk 90 speed yake huwa inashuka sana kutokana na kucheza kwa kasi sana. Ni mzuri zaidi akiingia sub kwa kuwa mabeki wanakuwa wamechoka kidogo kwa speed yake anakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kufunga

Hawa jamaa wanajifanya kuijua United, wakati hawaijui wala kuifahamu!

Kisa kafunga, anakuja kwa kukurupuka.

Anyway, ni vizuri kwa yeye kuona goli la Chicharito, anaonyesha ni namna gani anavyofuatilia mechi hii kubwa ya timu kubwa za Uingereza. Naona haangalii mechi ya kitimu chao cha Goons.

Cc: Viper
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom