Huyo fala hujamzoea tu..?Yani umepoteza game mbili mfululizo, lakini bado unaujasiri wa kuingia humu na kuanza kumbwela mbwela.
Kweli kuna watu majeuri.
Man u haina ukuta wa kuzuia kufungwa mkuu..My prediction
Sheffield Utd 0-3 Manutd (FT)
NO BTTS
O2.5
Predicted line-ups
Sheffield United: Ramsdale; Basham, Egan, Stevens; Baldock, Berge, Ampadu, Fleck, Lowe; Mousset, Burke
Manutd:
Man United: De Gea; Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire, Telles; McTominay, Fred; Mata, Fernandes, Rashford; Martial
Fernandes to score a BRACE at anytime
Hapo Leo bila greenwood no party..My prediction
Sheffield Utd 0-3 Manutd (FT)
NO BTTS
O2.5
Predicted line-ups
Sheffield United: Ramsdale; Basham, Egan, Stevens; Baldock, Berge, Ampadu, Fleck, Lowe; Mousset, Burke
Manutd:
Man United: De Gea; Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire, Telles; McTominay, Fred; Mata, Fernandes, Rashford; Martial
Fernandes to score a BRACE at anytime
Ana goli ngap na assist ngap ktk mech 11?Hapo Leo bila greenwood no party..
Anapaswa aanze
Ukweli kabisa huu tatizo kocha tuendelee kumvumiliaNiliwahi kusema last two weeks.
United ingekuwa serious huu msimu ndo ulikuwa wa kuchukua kombe iwe UCL au EPL.
Kwa kikosi tulicho nacho, tumekosa kocha tu
Martial ana goli ngapi?Ana goli ngap na assist ngap ktk mech 11?
umemtaja martial mwanzo?Martial ana goli ngapi?
Lakini hapo hapo kwa martial nae hana sifa za kuanza kwa sababu mchango wake ni mdogo sana jumamosi mahrez alikosa goli la wazi katupwa bench mech ya juz laporte kapoteza namba kiwango kimeshuka pale kuna ighalo alimchukua wa nn?Martial ana goli ngapi?
Hakika kabisa,,bora ighalo angeanza striker,,kushoto rashford kulia greenwood.Lakini hapo hapo kwa martial nae hana sifa za kuanza kwa sababu mchango wake ni mdogo sana jumamosi mahrez alikosa goli la wazi katupwa bench mech ya juz laporte kapoteza namba kiwango kimeshuka pale kuna ighalo alimchukua wa nn?
Angalau ighalo hata kupambana na mabek anaweza martial kawa lingard sasa daaaHakika kabisa,,bora ighalo angeanza striker,,kushoto rashford kulia greenwood.
Mimi nimesema no greenwood today no party,,umemtaja martial mwanzo?
Huwa namkubali sana huyo dogo pamoja na huyu dogo ki ukweli hii miaka miwili wasaka vipaj wa timu yetu hawajafanya vibaya pengine ndio maana solskjaer anavumiliwa wana imani nae kwa sasa kwa upande wangu kitu naona tunatatizo la ushambuliaji tu timu ikiwa nzur mbele hata mabek wanakuwa fresh wale atalanta unaweza kuwafunga 3 wao wanakupa hata 6 msimu uliopita...... je timu gan itakuwa na ujasir wa kushambulia wakat wanajua mwamba ukimpa 5 yaya anakupa 7 na haikuwa miongoni mwa timu zenye ukuta imara unamfunga 2 yeye anakupa 4 mech kwisha utaona huna bek unafunga ka moja wana wanachomoa na wanakuongeza mech kwishaKkkkk
My prediction
Sheffield Utd 0-3 Manutd (FT)
NO BTTS
O2.5
Predicted line-ups
Sheffield United: Ramsdale; Basham, Egan, Stevens; Baldock, Berge, Ampadu, Fleck, Lowe; Mousset, Burke
Manutd:
Man United: De Gea; Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire, Telles; McTominay, Fred; Mata, Fernandes, Rashford; Martial
Fernandes to score a BRACE at anytime
Mpira kuna muda unamatokeo ya ajabu spurs vs crystal palace manchester city vs west bromwich albion liverpool vs fulhamLeo mbele nikicheza hata mimi natupia.
Huyu ni Palistri?Huwa namkubali sana huyo dogo pamoja na huyu dogo ki ukweli hii miaka miwili wasaka vipaj wa timu yetu hawajafanya vibaya pengine ndio maana solskjaer anavumiliwa wana imani nae kwa sasa kwa upande wangu kitu naona tunatatizo la ushambuliaji tu timu ikiwa nzur mbele hata mabek wanakuwa fresh wale atalanta unaweza kuwafunga 3 wao wanakupa hata 6 msimu uliopita...... je timu gan itakuwa na ujasir wa kushambulia wakat wanajua mwamba ukimpa 5 yaya anakupa 7 na haikuwa miongoni mwa timu zenye ukuta imara unamfunga 2 yeye anakupa 4 mech kwisha utaona huna bek unafunga ka moja wana wanachomoa na wanakuongeza mech kwishaView attachment 1652229
Mpira kuna muda unamatokeo ya ajabu spurs vs crystal palace manchester city vs west bromwich albion liverpool vs fulham