Down and out: Goggs watches Manure go down 4-1
but David Moyas can't bear to look
Criticised: Goggs made his feelings known to fourth
official Oliver at half-time
Mmeanza EPL vizuri hongereni chana chana Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nani unajua amesaini mkataba mpya mwanzo mwa msimu? Mimi nikadhani Moyes atakuwa anamtumia; sasa nashangaa kukalia benchi.
Ningependa kwenye wings wacheze Antonio, Nani na Zaha, wakisaidiana. Young ndiyo wa kuhama.
Tatizo la Mourinho anataka timu nzima iwe inazuia,utafunga goli saa ngapi