Kweli tunatofautiana maisha yani watu kwny majukwaa yao wanawazungumzia Atletico Madrid, Monchengladbach, Leipzig lakin kuna watu wanawaZungumzia Real Sociedad.
Shapes & formations are extremely fluid, even if a team is using just one "formation" out of possession. However, my view was that MU used multiple shapes out of possession making players roles & functions even more dynamic than typically seen. MU did well to nullify MC´s attack
Kweli tunatofautiana maisha yani watu kwny majukwaa yao wanawazungumzia Atletico Madrid, Monchengladbach, Leipzig lakin kuna watu wanawaZungumzia Real Sociedad.
Atletico yupo nafas ya 2 la liga.....Leipzig yupo nafas ya 3 na M ngladbach yupo nafas ya 8 bundasliga.....Real sociadad yupo namba 1 laliga mpaka sasa....Nadhani una matumizi mazuri ya akili