si kwamba tunafurahia hapana ukiangalia mwenendo wa timu na usajili na makocha waliopita ni ngumu sana kupata flow ya timu hasa kocha wetu si mzoefu kuna muda tunamlaumu afukuzwe je anaekuja itakuwaje?Na angefungwa manchester united dhidi ya manchester city hii iliojichokea moto ungelizidi(sina furaha na mwenendo wetu)
kitu pekee nilichokiona jana ni pasi nyingi zilizoanzishwa na de gea, maguire, lindelof, scott then bruno pindi anaposhuka chini na tukifika maeneo ya adui hatuna ubunifu wowote baraka ya kurudisha tena mpira nyuma.
ukweli usemwe tunacheza ovyo, sielewi ni kwa sababu gani mpaka leo timu kubwa zina dominate possession dhidi yetu halafu bado tunafurahia haliyakuwa kibajeti tunalingana
Sasa atagusa vipi mpira kama viungo hawampi? Au ulitaka ashuke awe kiungo?KITU NILICHOONA LEO, NA OGS ANATAKIWA AKIJUE....
1. FRED SIO WA KUANZIA BENCH
2. POGBA SIO WA KUANZIA BENCH
3. TOMINAY SIO WA KUANZIA BENCH
4.RASHFORD SIO WA KUANZIA BENCH
5. FERNANDES NI MOTOOO
6. SHAW SIO WA KUANZIA BENCH
7.BISSAKA, LINDELOF, MAGUIRE NI MOTOO
8. GREENWORD NI MOTOO
9. MARTIAL SIO WA KUKAA HATA BENCH AONDOKE AUZWE/ATOLEWE MKOPO MBALI SANA NA ENGLAND, DAKIKA ISHIRINI ALIZOCHEZA ANAGUSA MPIRA MARA MBILI TU!!!!!
Kila mmoja ana muogopa mwenzie..deplorable game of football, wajinga wawili walikutana jana
ole anasema tokea afundishe timu, jana ilikuwa ndio mechi bora kwake dhidi ya man cityKila mmoja ana muogopa mwenzie..
Game kama hizi tumeziona msimu huu
✓United vs Chelsea 0-0
✓Chelsea vs Spurs 0-0
Grealish wa nini sasa?si kwamba tunafurahia hapana ukiangalia mwenendo wa timu na usajili na makocha waliopita ni ngumu sana kupata flow ya timu hasa kocha wetu si mzoefu kuna muda tunamlaumu afukuzwe je anaekuja itakuwaje?
Hii timu haiwez kuwa sawa hiv karibuni ni suala la muda simpend kocha ila kuna muda namuonea huruma alikuwa akiwataka watu wa kufanya nao kazi hakupata kwa hiyo kalazimika kutafuta plan b vipi kama angepata watu kama jack na sancho? Ubunifu ungekuwepo wala wakina greenwood tusingekuwa tunawalaum hao tunawapoteza kwa kuwa wanapewa majukum makubwa
Namuangalia sana jack wa aston villa kama angepatikana na sancho tungekuwa mbali sana
Nakubaliana nae..shida ilikuwa link up ya mid na Rash+Greenwood..ole anasema tokea afundishe timu, jana ilikuwa ndio mechi bora kwake dhidi ya man city
Hawa Pundit wa kiingereza hovyo sana..★Gary Neville: “There was no intent to go and win the match today, if that was Jose Mourinho in the dug out, we’d be hammering him”★
manutd |
Huyo Sancho huko alipo anafanya nini? Unadhani angesaidia?si kwamba tunafurahia hapana ukiangalia mwenendo wa timu na usajili na makocha waliopita ni ngumu sana kupata flow ya timu hasa kocha wetu si mzoefu kuna muda tunamlaumu afukuzwe je anaekuja itakuwaje?
Hii timu haiwez kuwa sawa hiv karibuni ni suala la muda simpend kocha ila kuna muda namuonea huruma alikuwa akiwataka watu wa kufanya nao kazi hakupata kwa hiyo kalazimika kutafuta plan b vipi kama angepata watu kama jack na sancho? Ubunifu ungekuwepo wala wakina greenwood tusingekuwa tunawalaum hao tunawapoteza kwa kuwa wanapewa majukum makubwa
Namuangalia sana jack wa aston villa kama angepatikana na sancho tungekuwa mbali sana
Hapama wachezaj wanapanda au kushuka sehem anayokwenda mfano wakina mane na salah walikuwa wa kawaida lakin kwa sasa bei zao hazishikiki kuna timu haipend kuwa na VVD? Alipokuwa sutton nani alikuwa akihangaika naeHuyo Sancho huko alipo anafanya nini? Unadhani angesaidia?
Sio kwisha tunapunguza hata tulipokuwa na ronaldo bado tuliendelea kuboresha timu pale united grealish ni mtu muhimu sana tena sana yule jamaa angetupa option kibao pale mbeleGrealish wa nini sasa?
Na tukimpata Sancho kwahiyo tutakuwa tumemaliza kitu?
Radika;Rafiki yako Mau anachukua EPL this season.Sio kwisha tunapunguza hata tulipokuwa na ronaldo bado tuliendelea kuboresha timu pale united grealish ni mtu muhimu sana tena sana yule jamaa angetupa option kibao pale mbele
Mkuu nimeweka neno "leo" ujue namaanisha mechi ya jana tu.Watu wanafiki juzi kamuanzisha Shaw mkafungwa mkalalamika kwanini Shaw kapangwa.
KWANI CAVANI HUWA ANAGUSA VIPI?, HALIJUI KUJI-POSITION, UVIVU MTUPU. MECHI YA JUZI KATI YA UCL RASHFORD ALICHEZA CHINI YA DAKIKA 15 ZA MWISHO AKAGUSA MPIRA MARA NYINGI KULIKO MJINGA HUYU ALIYECHEZA ZAIDI YA DAKIKA 75Sasa atagusa vipi mpira kama viungo hawampi? Au ulitaka ashuke awe kiungo?
Makocha wenye uwezo wa kuchukua makombe wanajulikana
Hesabu hazidanganyi
Klop
Jose morhino
Pep guardiola
Hao ndio wananyota na vikombe
Hao wengine sijui
Lampard
Ole
Arteta
Hao ni wasindikizaji tu ,hawana pumzi kabisa
Siku mtakapolijua hili ndio mtakapo jua kuwa hamjui, na mnapoteza muda
Timueni oleguna Kama mnataka vikombe
Wewe mkuu ndiyo unamatope, hujaelewa hata kaandika nini!Akili matope hii, yaani Arteta yuko nafasi ya 15 unawezaje kumtaja hapa?
deplorable game of football, wajinga wawili walikutana jana