Wakuu hatuna Cha kupoteza ,,,,!
City sio wa kutisha Sana !
Kikosi Ni kizuri, ila ningependa Alex telles aanze instead of Shaw, cross zake zina macho zaidi!
★Hivi swla la Kona hawalionagi kabisa kwenye mechi kwamba wakalifanyie uvumbuzi huko kwenye Mazoezi au Magoli ya kona Haya hesabiki siku hizi maana leo naona kutakuwa na kama kona 10 ila hazitazaa Goli lolote kabisa maana mpaka sasa hivi tuna kona 4 na hazijazaa kitu★