Chifu, what's your point on this? Maana sielewi unachokikomalia hapa; wakati nimeshasema Antonio hakucheza vizuri kama alivyocheza katika mechi za awali. Ila tatizo lilikuwa la timu nzima.
Chifu, kama ndio unafanya hivi argument. Kwa heri. Naona hutuwezi kuelewana katika hili la positions na style of playing katika dimba.
Dah! Wewe ni kiboko! Anyway, nilichosema ni kwamba, pamoja na kucheza vibaya kwa Antonio, timu nzima haikucheza vizuri. Timu ilikosa mtu pale mbele ambaye angekuwa anawaweka roho juu mabeki wa City. Ndio maana nikasema, hiyo inaonyesha tunahitaji mtu mwingine (namba 9) wa kusaidiana na RvP kama RvP hayupo. Sijasema tatizo ni kutokuwepo kwa RvP. Timu nzima haikucheza vizuri.
Nimeshasema hayo huko nyuma pia. Nilimlaumu David kwa kuwaanzisha Danny na Ashley badala ya Javier ama Kagawa/Nani. Kukosekana kwa RvP kungelazimu hao kuwemo ndani ya dimba.
RvP alikosa jana mechi kutokana na thigh injury; sasa hizo fununu ni udaku tu! Mimi sijadili udaku, jaribun mwingine.
.....acha ubishi nawewe kha?!
Msome Mourinho;
""Juan has to learn to play the way I want to play. He has to be more consistent, has to be more participative when the team loses the ball, and I think it is not his fault. It is just a consequence of the way he played in the last few years."
Read more at Jose Mourinho fires warning to Juan Mata at Chelsea | Football News | ESPN.co.uk
BTW, nimekuja kuweka shada la maua tu, poleni na msiba...
EMT,Ya Chelsea weka kwenye jukwaa lao,
back to the point Manu amefungwa mechi tatu?
Hapo utawadanganya wengine lakini siyo mimi. In the modern football, a winger is a wide attacking midfielders, often characterized by pace, good dribbling and crossing skills.
Kwa hiyo, hata kama RVP angekuwepo bado mgepata kichapo? Rooney nae alicheza ovyo sana jana?
Kwa ni Oscar pekee ndiyo arudi kukaba. Why not Mata?
If he was the best player he would not have been behind Oscar in the pecking order as the teams playmaker.
In deed, the fact that he was their best player in the last two consecutive seasons does not guarantee him a place in the team. If he can attack but he cant defend but there is another player who can do both, then I will pick the latter.
Messi a complete player, but not an exceptional player like Rooney?
Nilisema a good player not a complete player. Even, if that was the case, Mata is not a complete player. He can't even get into the first 11 of the Spanish national team.Buddy, that is nonsensical comment! Unamfahamu Giovanni Elber; huyu alikuwa mfungaji bora na moja ya washambuliaji hatari waliowahi tokea Ulaya. Lakini alikuwa anaisikia Brazil kwenye bomba, pamoja na uhatari wake. Ukiweza kueleza kwanini, utapata jibu.
But he has time to be a much better player. Nilikuwa nalinganisha criticisms alizopata Cole; hazina tofauti na anazopata Mata.Chifu, best players siyo lazima acheze kama unavyotaka wewe. Ni sawa na kutaka Vidic awe anaenda kufanya mashambulizi ili kuwasaidia washambuliaji. Players become the best on what they are supposed to do in their teams.
Cole na Mata ni wachezaji wawili ambao kuwalinganisha inaonyesha jinsi husivyoelewa soka!
Well, this season you have lost three games so far.
Two games buddy, not three; Liverpool and Man City.
Hapo utawadanganya wengine lakini siyo mimi. In the modern football, a winger is a wide attacking midfielders, often characterized by pace, good dribbling and crossing skills.
Kwa mujibu wa Vidic aka his captain.
Kwa hiyo, hata kama RVP angekuwepo bado mgepata kichapo? Rooney nae alicheza ovyo sana jana?
Inawezekana hakuna mchezaji kama Rooney na ndo maana Feggie alisema kuwa Rooney is "The White Pele" to the disappointment of the legend.
Kwa ni Oscar pekee ndiyo arudi kukaba. Why not Mata?
If he was the best player he would not have been behind Oscar in the pecking order as the teams playmaker.
In deed, the fact that he was their best player in the last two consecutive seasons does not guarantee him a place in the team. If he can attack but he cant defend but there is another player who can do both, then I will pick the latter.
Messi a complete player, but not an exceptional player like Rooney?
Nilisema a good player not a complete player. Even, if that was the case, Mata is not a complete player. He can't even get into the first 11 of the Spanish national team. But he has time to be a much better player. Nilikuwa nalinganisha criticisms alizopata Cole; hazina tofauti na anazopata Mata.
Yea, but they are supposed to give 110% on the pitch.
Lilikuwa swali la msingi kama umelisema no problem.
Well, this season you have lost three games so far.
kiroho kwatu mzee...
Chifu, naona umekomalia modern football, modern football. Ebu nisaidie kunifafanulia hiyo modern football.
Siwezi kusema kitu cha kufikirika juu ya RvP. Rooney alicheza average sana kwa standards zake. Hata angecheza vizuri kama timu nzima haingecheza vizuri, isingekuwa na maana.
Chifu, huwezi kulazimisha mchezaji acheze kwa style hasiyo i-master. Nimeshakwambia sana, Mata is the best player at what is supposed to do. Oscar is far away from Mata when it comes to attacking and playmaking.
Come on, you are better than that. That is Jose's decision; sometimes best players sit on the bench due to managers' decisions on team selection. BTW, if Jose keeps on benching Mata, United is going to buy him in January
Siyo lazima a-defend; kwani Chelsea ina wachezaji wazuri wanaoweza kufanya defending. Chelsea wanaweza kumtumia Juan katika kuongeza nguvu ya mashambulizi. Jambo ambalo wanalikosa kwa kiasi kikubwa katika mechi zao. Hiyo ya kumchezesha Oscar kwa kuwa anaweza kukaba na kushambulia ni trade-off ambayo inawacost Chelsea. Wanaye Ramires anayeweza kukaba; hivyo Mata angeweza kucheza na Hazard na kusaidiwa na Oscar baadaye.
So does Messi back-track as you are trying to brand modern footballers?!?
BTW ebu nisaidie kumwelezea a complete player.
Buddy, that is nonsensical comment! Unamfahamu Giovanni Elber; huyu alikuwa mfungaji bora na moja ya washambuliaji hatari waliowahi tokea Ulaya. Lakini alikuwa anaisikia Brazil kwenye bomba, pamoja na uhatari wake. Ukiweza kueleza kwanini, utapata jibu.
Chifu, best players siyo lazima acheze kama unavyotaka wewe. Ni sawa na kutaka Vidic awe anaenda kufanya mashambulizi ili kuwasaidia washambuliaji. Players become the best on what they are supposed to do in their teams.
Sijawalinganisha Mata na Cole kama wachezaji, bali nimelinganisha criticisms walizopewa na Mourihno. Zinafanana au hazifanani?Cole na Mata ni wachezaji wawili ambao kuwalinganisha inaonyesha jinsi husivyoelewa soka!
Two games buddy, not three; Liverpool and Man City.
Huyu anayezungumza story za Mata sio wewe?
I am not making an academic argument. In fact, I am not making an argument. Rather, I am providing factual information.
You said you have been trained to played football. That doesn't matter as you can make mistake as well as unless you tell us that you are perfect.
Kwani "another top class number 9" siyo striker?
Kweli hatuwezi kuelewana kwa sababu those positions aren't static or that each team must use them. Each team play differently and have got different players to play differently. Kwa mfano, ukiangalia kikosi cha Man Utd kuna wachezaji ambao wamekuwa identified kama wingers. Lakini ukiongalia kikosi cha Chelsea hakuna winger hata mmoja. Instead wanaitwa midfielders whether attacking or not. Which means tunaweza kubishana for nothing for the who day.
Ndo maana wanategemea zaidi kwenye counter-attack. Lakini Madrid wanacheza 4-2-3-1 siyo 4-4-2 ya Man Utd.
You have to adapt according to the game. Some positions are better in certain games, some are not. 4-4-2 jana ilikuwa haiwafai. In fact enzi za Ferggie mechi kubwa kama hizo alikuwa anabadili tactics.
Mnao watatu tayari lakini mmewaweka bench huku mnataka namba 9 mwingine. Ni top No 9 gani huyo ambaye atakubali kupasha bench moto asubiri mpaka RVA aumie ndo yeye acheze.
RVP kakosa mechi tuu tayari unataka top 9 mwingine? Angekuwa ameumia msimu mzima sawa. You just need to rotate your players ili wawe fit muda wote.
[/QUOTE]Sure man Utd is an institution, do doubt about that. If any any top class number 9 would fancy the idea of competing for a position with another top class central forward, then Rooney asingetingisha kiberiti.
Did you said you are trained to play football?
Sikatai kuwa Mata is a good player and best akiwa on top of his game. Lakini Mata ana weakness moja kubwa. His working rate iko chini na hii imechangia overall performance ya timu yake. Tofauti na Mata, Oscar has a higher working rate lakini nadhani siyo creative kama Mata.
Oscar bado ni mdogo na ana chance ya ku-improve zaidi kwa kuwa more creative and dynamic, though Mata yuko safi in that department. So kama Mata anataka awe on the picking order, then he will have to improve his working rate.
What I have noted ni kwamba midfield ya Chelsea inakuwa a bit light Mata na Hazard wanapocheza nyuma ya striker. Hii ni tofauti na Oscar anapocheza behind the striker. Huu siyo msimu kama ule wa 2011/2012 ambapo Mata alikuwa creative player pekee in the entire squad. Wala siyo msimu kama uliopita ambapo Hazard na Oscar walikuwa wana-adapt
At the end of the say consideration should be what a team needs most: creativity or mchezaji anayefit better kwenye philosophy ya team? At the end of the day do Oscar, Hazard plus one player make up for Mata creativity or not?
Of course, Messi always tracks back 40-50 yards, starts a move and finishes it all by himself. Mchezaji ambaye ha-track back ni Neymair. Unlike Mata, Messi is not afraid to track back and help team-mates out.
You told me you're a trained footballer. Definitely, you must have been thought how to become a complete player.
Yea, alikuwa one of the top strker Bundersliga lakini kulikuwa na competition kubwa kwneye timu yake ya taifa. Kwa striker inaweza kuwa ngumu to break into the national team, lakini therere are more chances kwa midfielder, tena a creative midfielder. Spain has got top midfielders, lakini kama Mata anataka awe regular in that squad, then he will have to improve his work rate. Maana akina Navas na Isco nao wanabisha hodi. Mata will improve kama akizikubali hizo kasoro na kuzifanyia kazi. Badala ya kuwa tuu a creative player atakuwa better kwa kila kitu. Sioni ubaya wowote hapo.
Any player must fit in the philosophy of the team. The fact kuwa a certain player is best does not guarantee him kucheza atakavyo. Lazima afiti na akubaliana na style mchezo. Hata Neymair atabadilika hapo Barca.
Ngoja na mimi nijaribu kuchangia kadiri ya uelewa wangu, Kwanza katika Mechi ya jana Valencia hakucheza kama kawaida kutokana na Timu nzima kuwa vibaya na Hapakuwa na Maelewano kati yake na Smalling ambaye jana hakuwa kwenye form kabisa (Binafsi jana ningependa kuona Smalling anatoka then Valencia arudi kucheza nafasi yake na kuingia winga mwingine ambaye wangeshirikiana kusukuma mashambulizi)
Kuhusu Nafasi na Mfumo wa Kiuchezaji
Katika Mpira position mara nyingi hutegema na mfumo wa timu, But general speaking namba za wachezaji zipo in pair,
Defense
Mabeki wanawezwa kugawanywa katika Makundi Makubwa mawili au Matatu kulingana na Mfumo. Kwanza kuna Pair ya Mabeki wa pembeni (yani Full back left and Right), Pili kuna Mabeki wa Kati hawa wanatofautina kidogo kimajukumu japo kwenye mfumo unaweza kuwaona wanacheza kwenye line moja. hapa kuna Centre-Back (Center half) na kuna Sweeper (Libero) ambao wanatofautina kimajukumu. Center Back yeye kazi yaki ni kumtrack na kumkaba namba 9 pamoja na kucheza mipira yote ya Hatari ya kwanza (Kwa Utd hii ni kazi ya Vidic) na Libero au Sweeper (kwa Utd ni Rio /Evans au Smalling) kazi yake kubwa ni kusoma mchezo na kuorganize/kupanga wenzake, kuclear lose balls baada ya Centre back kutibua move, pamoja kusaidia Kuziba mianya au kufuta makosa na wenzake.
[h=3][/h]Midfield
Viungo nao wanaweza kugawanywa katika makundi Matatu, kwanza kuna Mawinga au washambuliaji wa pembeni wenye jukumu la kusaidia walinzi wa pembeni na zaidi kusaidia Washambuliaji wa mbele au kati, Pia kuna kiungu mkabaji yani namba 6 na Kiungo mshambuliaji na mchezeshaji yani namba 8
Forward
Hawa wapo wa aina mbili kuna Msambuliaji Mfungaji (Centre forward/Finisher/Predator/Goal scorer/Goal Hunter/Goal Gater) huyu kazi yake kubwa ni kufunga tu hana kazi nyingine.
Pia kuna mshambuliaji tunaweza kumuita msaidizi (Second Striker/Goal maker/Support Striker) huyu kazi yake kubwa ni kumtengenezea mazingira mazuri Goal Scorer kufunga pamoja kusaidia na Viungo kati na pembeni katika kuchezesha timu
Hapa ndo inapokuja point kuwa Rooney sio Class Striker kwa kuwa hachezi kwenye nafasi ya Finisher kama Chicharito au Van Persie ingawa Van Persie ana iwezo wa ziada wa kucheza kama Second striker pia.
Asante chifu kwa ufafanuzi na maelezo yako. Yameweka vizuri kile ninachokisema.
Free Shinji Kagawa and Nani
Tatizo la Moyes kama alivyo Maurinho kwa sasa ni squad selection.For Nani aondoke tu kwa kweli maana kavumiliwa sana habadiliki tu
For Nani aondoke tu kwa kweli maana kavumiliwa sana habadiliki tu
Tatizo la Moyes kama alivyo Maurinho kwa sasa ni squad selection.
Sioni sababu ya kumweka bench Shinji, Nani na Chicharito then badala yake unawapanga Fellaini, Welbeck na Valencia.
Welbeck ni mchezaji wa kawaida sana na alitakiwa awe sub na si mchezaji wa kumweka Chicharito bench