Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Boss hii ni comment bora ya mwakaTatizo Waafrika hatujiamini na hatujikubali kiasi cha kwamba tumekubali fahari yetu kugeuka kuwa matusi, tumeshindwa kui brand rangi yetu kuonekana yenye thamani tumebaki kulia lia tu.
Wazungu wameibrand rangi yao inayofanana na kitimoto mpk inaonekana ni rangi nzr na bora, leo hii kama ikitokea kuna weusi watupu af mzungu mmoja na kamisaa akasema "book that white guy" wala mzungu asingelalama na angefurahi kuonekana anahusudiwa cz wamejibrand.
Ifike mahali waafrika tuache kulia lia na tusikubali kasumba za wazungu eti kwamba kumuita mtu black ni tusi, sisi wenyewe tujiite blacks na tujivunie ublack na wao wakituita blacks nasi tuwaite pigs maisha yaendelee.
Ivyo yani.
Kumbe Manure na Arsenal sasa ni sawa tu, yaani wote tunacheza ile mnaita ligi ya futuhi!
Karibuni ligi ya futuhi mkuu, poleni kwa vichapo huko juu.★Arsenal ni Arsenal tu nyie si mnajiitaga BAYERN MUNICH ndogo bhana mnajifaninishaje na Mnaotuita Nyumbu Bro [emoji23][emoji23]★
Huyu mzee kiazi sana
Tatizo Waafrika hatujiamini na hatujikubali kiasi cha kwamba tumekubali fahari yetu kugeuka kuwa matusi, tumeshindwa kui brand rangi yetu kuonekana yenye thamani tumebaki kulia lia tu.
Wazungu wameibrand rangi yao inayofanana na kitimoto mpk inaonekana ni rangi nzr na bora, leo hii kama ikitokea kuna weusi watupu af mzungu mmoja na kamisaa akasema "book that white guy" wala mzungu asingelalama na angefurahi kuonekana anahusudiwa cz wamejibrand.
Ifike mahali waafrika tuache kulia lia na tusikubali kasumba za wazungu eti kwamba kumuita mtu black ni tusi, sisi wenyewe tujiite blacks na tujivunie ublack na wao wakituita blacks nasi tuwaite pigs maisha yaendelee.
Ivyo yani.
Karibuni ligi ya futuhi mkuu, poleni kwa vichapo huko juu.
Bielsa mbinu zake zinaenda na wachezaji underdogs..wasio na majina
Huwezi kumkimbiza Pogba na Martial Kwa style za Bielsa..
Watamgomea au atawaweka benchi mtalia lia..
Wachezaji ma superstar hawawezi mziki wa Bielsa wa wa kusahambulia non stop..
Leon Bailey ni winger wa kushoto Man united wanamtaka wa nini ?★Mail Sport | Scouts from Arsenal, Tottenham, Everton and Man Utd will watch Leon Bailey on Thursday night against Slavia Prague.★
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd | View attachment 1646146
Leon Bailey ni winger wa kushoto Man united wanamtaka wa nini ?
Leon Bailey alikuwa wa moto toka anasajiliwa kutoka KRC Genk scouts wa United hawakumuona ila walikuwa na jicho pevu la kuweza kumuonea Daniel James.
Tunahangaika kutafuta winger wa kulia hivi hatumuoni Mikel Oyarzabal ?
Pale Bayer Leverkusen na KRC Genk Leon alikuwa akicheza kushoto.★Mkuu punguza jazba bwana mdogo mwenyewe huyu hapa kasema
Leon Bailey:- "I've always said my best position is on the right-hand side. I feel really happy out on the right.
sasa kama nawewebunamjua huyu dogo yupo moto we huoni ataleta kitu flani kwenye timu maana kwa Man U hatuna RW nazani Leon atajaza hiyo nafasi na atakuwa Chaguo sahihi.★
Leeds haifanani na Bayern wala LiverpoolLIVERPOOL ina maSuperstar kibao ila style yao ni ku-presss na kushambulia dkk90 zote..UKICHEZA NA LIVERPOOL UKAWA MZEMBE WATAKUPIGA HATA GOLI 9..
Sijagusia BAYERN MUNICH HAPO nao. jinsi wanavyoPress.
Pale Bayer Leverkusen na KRC Genk Leon alikuwa akicheza kushoto.
Leeds haifanani na Bayern wala Liverpool
Halafu Liverpool wameibadili Ile original 'gengen pressing'..
Wamei twist kidogo ..ndo maana Liverpool ya
First two seasons za Klop na hii ya sasa ina tofauti sana..
Leeds mfumo wao unahitaji wachezaji wote kukimbia sana Kwa dakika zote
Pogba na wenzie hawawezi hiyo..
Hivi hao wachezaji mnawashangilia kwa kumletea Ole!?★Mkuu punguza jazba bwana mdogo mwenyewe huyu hapa kasema
Leon Bailey:- "I've always said my best position is on the right-hand side. I feel really happy out on the right.
sasa kama nawewebunamjua huyu dogo yupo moto we huoni ataleta kitu flani kwenye timu maana kwa Man U hatuna RW nazani Leon atajaza hiyo nafasi na atakuwa Chaguo sahihi.★
Hivi hao wachezaji mnawashangilia kwa kumletea Ole!?
Hivi mafanikio makubwa ya Bielsa katika coaching ni yapi ?POGBA sio swetable kwa mchezo unaohitaji PACE na Pressing So kama Kocha akija ataleta wachezaji wanaomfaa..kocha ndo anadictate style ya kucheza sio mchezaji.
SO hata BIESA akiamua kuja OT pale ni sawa tu LONG AS OLE ANASEPA.