na wakati sisi tunawaita whites?wazungu na hawakasirikiEti wanasema ubaguzi, kisa mwenye ngozi nyeusi kaitwa mtu mweusi. Baadhi ya Waafrika ni wapumbavu sana sasa ww una gozi nyeusi ukiitwa mtu mweusi unachukia na kusema ni ubaguzi. Pumbavu kabisa
Sasa unataka uitwe mtu mweupe wakati ww ni mweusi, hii kampeni yao naona kuna kitu inatafuta kutoka kwetu Waafrika.
Hakika ni futuhiNDIO, NI FUTUHI!
Greenwood, Rashford, Martial, Lingard, JamesUnamweka benchi vdb unachezesha left backs wawili hehehehee wallahi km kuna man u mwenzangu humu bado anaamini ktk Ole basi huyo anaweza kuishi hata baharini
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukimfunga PSG leo itakuwa salamu kwa wenzetu kwamba Wasituchukulie poa.....Kama ndoto hivi ila kwa mbaaaaaaaaaaali, yaaan ileee mbaaali, kuna sauti za makelele ya shangwe na fujo za wanajukwaa baada ya ushindi wa Man United dhidi ya Bayern Munchen final msimu huu....The second coming of 1999
Msinipige Mawe
Punguza jazba mkuu, kwnz kesho tunamtimua Ole tupo kwenye kikao hapa tunajadili mafao yake.Matic useless
Mctominay useless
Rashford+Greenwood=Selfishness
Ole+Technical bench=Below average
9points na hatufuzu last sixte
eens..
Fu.ck
Pole sana mkuu mimi pia usingizi unagoma kabisa hapa..Tuliohoji inakuwaje tupo kwenye nusu fainali tatu na tukashindwa kufuzu fainali hata moja last season mlituona wajinga..
Now tell us ni kwa namna gani tumeshindwa kusonga mbele kwenye hili kundi?..
Ole anabahatisha na hili lipo wazi..uwezo wake ku-manage game nzito upo chini sana,leave aside tactical awereness yake..no style of play,,tunajichezea tu tukitegemea lolote litatokea..
What did he still need to make us play some decent football?
Nimechukia sana leo mama.e
Hujawahi kusikia mtu kaitwa "fala" anafurahi na mtu kaitwa "fala" anaanzisha ugomvi? Kuitwa mweusi sio tusi ila inategemea umeitwa vipi na kwenye mazingira yapi.Eti wanasema ubaguzi, kisa mwenye ngozi nyeusi kaitwa mtu mweusi. Baadhi ya Waafrika ni wapumbavu sana sasa ww una gozi nyeusi ukiitwa mtu mweusi unachukia na kusema ni ubaguzi. Pumbavu kabisa
Sasa unataka uitwe mtu mweupe wakati ww ni mweusi, hii kampeni yao naona kuna kitu inatafuta kutoka kwetu Waafrika.