Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumbo joto mida hii..

Tutakuwa na meltdown mida ya saa saba humu tukiondolewa UEFA..

Ole na wachezaji tuondoleeni hizi tabu

GGMU
 
★You know Broh he is not Part of us ko yani everything he speaks i gotta mad on it yani sijui kwanini ujue mtu ukishamchukia nazani unajua
mkuu kwani hapo amekosea nini...!!! mbona ameongea kitu cha kawaida kabisa!
AU WEWE UMEELEWAJE!?
 
Hizi pressure zote kazitaka ole tu


Ona sasa mnaenda kuangalia mpira huku mmeshikilia p**mbu

Kuna watu leo wanapungua uzito Kama kilo tatu ndan ya dakika 90
game itakuwa ngumu lakini Man U anashinda au anadroo
 
Let's do it reds!!!!

Tunamaliza grp tukiwa wa kwanza! Believe

#GGMU
 
Glory Glory Manchester Uniteeeeeeddddd!!!!!!!

We need to win this game!!

Kimsingi tulizingua kule Uturuki yani sshv tungekuwa tumepumzisha key players kwa ajili ya Manchester City.
 
Leo ndio ile siku ambayo nilikua naisubiria kila siku jamaa afukuzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…