nilidhani rooney ni top class triker? ila umeniacha hapa jamvini umefanya substitutions zaidi ya tatu wakati zinaruhusiwa tatu tuu.
Poleni ni kweli mtani Mie naona Kagawa alikuwa acheze chini ya striker au kutokea kushoto kuingia kati kati ya the carrick angecheza vizuri nafasi yake walijichanganya Fellini na carrick nani acheze Hiyo nafasi ila Yaya aliwafanya Murudi sana nyuma ila mpira unaisha May poleni.
Kweli. Ndiyo 1st half wote walikuwa wakirudi nyuma na kucheza kama CM. Kipindi cha pili walibadilika kidogo; ingawa Kagawa angekuwepo ingekuwa safi.
Ila ni kweli; ligi inaisha Mei. Tuombe uzima tu.[/QUOTE. Ameen.
Kaka vipi Leo mkanda wa Kodak umeungua? Sioni picha za game ya Leo?
Chifu, jukwaa la mambo ya kikubwa ndilo linakufaa.
Kaka vipi Leo mkanda wa Kodak umeungua? Sioni picha za game ya Leo?
Rooney siyo namba 9 chifu; yeye ni namba 10! Sasa ninavyosema namba 9 namaanisha ndiye striker; goal getter; goal poacher n.k.
Tough times for United fans; as it is for Moyes. But I still believe in Moyes' RedAndWhiteArmy
He still needs to put his mark on players' minds.
33 games to go; 99 points still on the table.
So keep your heads up Man United fan.
Once United, always United.
GGMU
Msimu umenza vibaya kwa hawa mashetani... while on the other side we are cruising! Ligi itasisimua msimu huu..
Kama Rooney siyo striker ni nani? Midfielder?
Hivi ni wewe ulikuwa unamponda Mourinho juu ya Mata kuto-defend?
Leo utasemaje kuhusu Valencia?
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi. Tuendelee kuzibua vizibo.
Kanyaga twende.