Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Good..

✓Pogba limetulia sana leo..

✓Bruno Fernandes ndo mchezaji bora EPL so far IMO..

✓Rashford anakera siku mojamoja..huyu Martial kawa hovyo sana..kujituma hajitumi..bure kabisa

✓3pts well derseved

✓Henderson naye yumo guys

Next:KAZI NGUMU UJERUMANI JUMANNE
 
Now ni wakati wa kumpa Cavan nafasi martial atulie ajifunze ukichek magori yote tumefunga baada ya yeye kutoka maan alikuwa anatia gundu tu

Greenwood ni mzuri sanaa kuliko Martial akikaaa 9
 
Ile first touch and turn ya greenwood mpaka kafunga ya kinyama Sana. GGMU
 
Ile first touch and turn ya greenwood mpaka kafunga ya kinyama Sana. GGMU
Greenwood ni straiker kiwango cha halaand kabisa... semaa kocha naona anaishindwa kumtrain na kumtumia vizuri tu
 
Watu walianza kumpa ubingwa Everton..I was like WTF
Na kloop naye alijichanganya humo akadai mpinzani wake ni everton..
Naona akiangalia msimamo anasemaa Naam hii ni Epl
 
You must log in or register to reply here.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…