Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuliko aanze Greenwood kwasasa bora rashford. Hata kama ndio kuweka wachezaji kwa ajili ya mechi ya uefa, ilipaswa waanze kikosi cha ushindi then ndio waingie tia maji tia maji.
 
Mimi naona tatizo ni Martial akipewa mipira ananyang'anywa na inakuwa hatari zaidi.

Bishoo atoke aingie Bruno.

Nimemisa fred asee.

Wan Bissaka kafanya kazi dah.
 
Acha kutuletea uchawi kwenye pira la EPL wewe ..huu ushirikina pelaka simba na Mtiba Shugwa huko..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ole, our footballer legend

"We" Dream he will turn out to be a legend as coach
 
Hii timu nyuma ya pazia kuna matatizo makubwa sana.

Yani haiingii akilini eti West Ham anapiga soka safi mbele ya likikosi lipana kama hili.
 
Bora hata Rashford ni threat ila hawa Martial na Greenwood wanapaswa kuingia second round.


Pogba aache ustaa achia ball haraka.
 
Hahaha Unaweza kusema wagonga nyundo ndio manchester yani, hata wanavyo organize mashambulizi yao unaona kabisa hii timu inafundishwa, sasa hawa nyumbu united asee.
Tusubiri come back kama ipo lakini mechi inaboa sana upande wetu bora ustream porn
 
Hii timu nyuma ya pazia kuna matatizo makubwa sana.

Yani haiingii akilini eti West Ham anapiga soka safi mbele ya likikosi lipana kama hili.
mi naongea kila siku humu Mc tominay ama Fred hawawezi cheza peke yao kwenye midfield 2, wanapiga mpira mwingi wakiwa pamoja ama kuwe na midfield wengi, hawana uwezo wa kusoma mchezo wanajua tu kufanya tackling, matic ni much better kwenye situation kama hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…